Vituo vitano vyafungiwa, vyafutiwa leseni kwa kuuza mafuta juu ya bei elekezi

Alivitaja vituo hivyo kuwa ni...
1. Caltex
2. Shell
3. Oilpil
4. BP
5. ...
 
[emoji867]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna siku niliingia victoria nikaambiwa petroli imeisha, wakati siku zote mafuta huwa hayakauki hapo. Nikaona isiwe tabu nikaenda Total. Nashauri safari nyingine ewura waje na bei ya buku ili wafiche vizuri mafuta..
Tena ingewezekana bei iendelee kushuka mpaka 800 kwa mwaka mzima.

Hao wanaoficha mafuta wafunge bisahara kabisa.
 
Tuilaumu serikali kuhusu bei elekezi ila sio hili la mafuta. Hapa tunahujumiwa mojakwamoja na wafanyabiashara. Subirini bei ikipanda, yatakuwepo mengi sana
 
Mbona vituo hivyo havitajwi?
 
EWURA waende huko Dodoma. Nimekuta vituo karibu vyote, isipokuwa vya PUMA, haviuzi mafuta kwa kisingizio kuwa mafuta yamekwisha!
 
Kuna sheri ya lake oil ipo pale tabata relini mataa ya kuingia tabata pale, huwa kila siku wanadai hawana mafuta nahisi wapo katika kundi hili la wahujumu..... Inatia hasira sana....
Kuna Sheri ya lake oil SAY WHAAAT!!! sema dah/dar dar es Salaam DSM ungeandika kingereza tu Mkulungwa doh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…