Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
- #41
Idea nzuri sana, ndicho walichofanya wenzetu India.Ni Idea nzuri Meneja Wa Makampuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Idea nzuri sana, ndicho walichofanya wenzetu India.Ni Idea nzuri Meneja Wa Makampuni
Hebu muandikie Samia kwenye akaunti yake ya Twita.Idea nzuri sana, ndicho walichofanya wenzetu India.
Akaunti yake mimi sina boss. Labda hapo ukopi link ya huu uzi na upest kwenye twita yake.Hebu muandikie Samia kwenye akaunti yake ya Twita.
Tena ni vizuri waanze na Magari ya Serikali ambayo ndiyo yanayotumia mafuta mengi.
Kudos Meneja Wa Makampuni
Iko twitani.Akaunti yake mimi sina boss. Labda hapo ukopi link ya huu uzi na upest kwenye twita yake.
Ahsante sana boss.Iko twitani.