Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 618
- 1,440
Viumbe vyote chanzo chake ni nishati/nguvu/energy/roho iliyounda chembechembe, chembe zikaunda ulimwengu na ndani ya ulimwengu zikaunda viumbe, kiumbe imetokana na atom yenye nishati/nguvu/energy/roho ambayo kwenye dini huiita mungu, nguvu hiyo iko kila mahali na ndani ya kila kitu yaani atom ikawa molecule ikajiunga ikawa organile ikajiunga ikawa cell/kiini ikajiunga ikawa tissue, ikajiunga ikawa organ/kiungo hatimae organism au kiumbe, hiyo ndio asili ya vitu vyote ndio mungu mwenyewe, nishati ndio alpha/mwanzo au asili, nishati/jua ndie mungu...