BEZO
JF-Expert Member
- Jul 15, 2023
- 1,770
- 4,449
Energy cannot be created or destroyed,,but it can be transformed from one form to another.Nataka kujua chanzo cha hiyo nishati!! Je ili appear from nowhere?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Energy cannot be created or destroyed,,but it can be transformed from one form to another.Nataka kujua chanzo cha hiyo nishati!! Je ili appear from nowhere?
I know that Energy can neither be created nor destroyed but here it is, Did it just existed from nowhere?Energy cannot be created or destroyed,,but it can be transformed from one form to another.
Swali dogo tu,unajua Mungu ni nani na yupo wapi tuanzie apo kwanza🤔
🤣 🤣 🤣This kind of fallacy is called Logical non sequitur.
Unaunganisha vitu viwili tofauti visivyo na uhusiano wowote ule kuunda hitimisho potofu.
Nishati sio Mungu.
Mungu ni dhana uchwara mliojitungia huko vichwani mwenu.
Mkuu umeleta hoja, inaaminika umeitafiti kwa kina na kuamua kuileta hapa ili ichambuliwe.Wewe siwez kubishana na wewe sababu sio kwangu tu pia nakuonaga ata kwenye post za watu wengine Kaz Yako kubwa ni kupinga tu bila mashiko ujuaji mwingi mbele giza ,siku njema
Mkuu umechanganya mambo mengi sana kiasi cha hoja yako kutoeleweka una zungumzia nini. Nipitie upya ila uweke sawa.Namjua Mungu hivyo naweza kukujibu hivi;
1. Mungu ni mmoja tu,
2. Haja zaa na wala hajazaliwa,
3. Hana mwanzo na wala hana mwisho,
4. Muumba wa vilivyopo Duniani na vilivyopo mbinguni.
5. Hana mshirika; namaanisha hashirikiani na kiumbe chochote kufanya maamuzi japo kwa nyakati tofauti tofauti alituma viumbe kutekeleza au kufikisha ujumbe aliokusudia.
UMENIULIZA KUWA MUNGU ANAKAA WAPI....
Jibu; Mungu anakaa mbingu ya 7 (kwa lugha rahisi niseme, Anakaa kwenye Solar System ya 7 kwenda juu japo uwezo wake na nguvu zake zipo mahala pote mbinguni na duniani
Nyongeza; Hii universe (ulimwengu) tunaoishi na nyota zake na Jua lake na sayari zake zooote, ni mbingu moja ya chini kabisa. Huko juu zipo nyingine sita, kwa kwenda juu, na kufanya Jumla ya mbingu saba.
Kwa sayansi ndogo iliyopo hapa Duniani, hadi leo hii hatujaweza kuona hata juu ya Jua, ina maana hata mbingu ya pili tu hatujaweza kuiona japo tunajua zipo.
"Endelea kusoma; sayansi ina mambo mengi .....
🤣 🤣 🤣Watu wanaandika pumba halafu wanataka ziwe facts.
🤣🤣🤣Na ana bahati humu hatuna VOICE NOTE angeyakanyaga 🤣🤣🤣🤣🤣
🤣 🤣 🤣Mbunye ndo chanzo cha yote haya
Endelea kudadavua kwa nini nyingine zir (-) na nyingine (+)Viumbe vyote chanzo chake ni nishati/nguvu/energy/roho iliyounda chembechembe, chembe zikaunda ulimwengu na ndani ya ulimwengu zikaunda viumbe, kiumbe imetokana na atom yenye nishati/nguvu/energy/roho ambayo kwenye dini huiita mungu, nguvu hiyo iko kila mahali na ndani ya kila kitu yaani atom ikawa molecule ikajiunga ikawa organile ikajiunga ikawa cell/kiini ikajiunga ikawa tissue, ikajiunga ikawa organ/kiungo hatimae organism au kiumbe, hiyo ndio asili ya vitu vyote ndio mungu mwenyewe, nishati ndio alpha/mwanzo au asili, nishati/jua ndie mungu...View attachment 3192991
Itoshe kusema, ukisoma Sayansi utanielewa....Mkuu umechanganya mambo mengi sana kiasi cha hoja yako kutoeleweka una zungumzia nini. Nipitie upya ila uweke sawa.
Eeeeh bro au unasemaje??