Viumbe vyote chanzo chake ni nishati

Viumbe vyote chanzo chake ni nishati

Viumbe vyote chanzo chake ni nishati/nguvu/energy/roho iliyounda chembechembe, chembe zikaunda ulimwengu na ndani ya ulimwengu zikaunda viumbe, kiumbe imetokana na atom yenye nishati/nguvu/energy/roho ambayo kwenye dini huiita mungu, nguvu hiyo iko kila mahali na ndani ya kila kitu yaani atom ikawa molecule ikajiunga ikawa organile ikajiunga ikawa cell/kiini ikajiunga ikawa tissue, ikajiunga ikawa organ/kiungo hatimae organism au kiumbe, hiyo ndio asili ya vitu vyote ndio mungu mwenyewe, nishati ndio alpha/mwanzo au asili, nishati/jua ndie mungu...View attachment 3192991

Kiongozi,
Yaani umesoma katopiki kamoja ka Biology - Classification (Form 5) kamekuchanganya hata unashindwa kuchanganua mambo?
Huwezi kujudge uwezo wa Mungu kirahisi rahisi hivyo
Kama una maarifa hata ukifikiria ufanyaji kazi wa mwili wako ni ushuhuda tosha wa uwepo wa Mungu mmoja, mwenye mamlaka yote juu ya vilivyopo Duniani na vilivyopo Mbinguni
 
Viumbe vyote chanzo chake ni nishati/nguvu/energy/roho iliyounda chembechembe, chembe zikaunda ulimwengu na ndani ya ulimwengu zikaunda viumbe, kiumbe imetokana na atom yenye nishati/nguvu/energy/roho ambayo kwenye dini huiita mungu, nguvu hiyo iko kila mahali na ndani ya kila kitu yaani atom ikawa molecule ikajiunga ikawa organile ikajiunga ikawa cell/kiini ikajiunga ikawa tissue, ikajiunga ikawa organ/kiungo hatimae organism au kiumbe, hiyo ndio asili ya vitu vyote ndio mungu mwenyewe, nishati ndio alpha/mwanzo au asili, nishati/jua ndie mungu...View attachment 3192991
Kuna viumbe vya kiroho na kimwili. Na kuna tusivyovijua kabisa na hatutavijua kabisa. Unazungumzia vipi
 
Kiongozi,
Yaani umesoma katopiki kamoja ka Biology (Classification) kamekuchanganya hata unashindwa kuchanganua mambo?
Huwezi kujudge uwezo wa Mungu kirahisi rahisi hivyo
Kama una maarifa hata ukifikiria ufanyaji kazi wa mwili wako ni ushuhuda tosha wa uwepo wa Mungu mmoja, mwenye mamlaka yote juu ya vilivyopo Duniani na vilivyopo Mbinguni
Swali dogo tu,unajua Mungu ni nani na yupo wapi tuanzie apo kwanza🤔
 
Hujui hata kama umefanya logical fallacy ya non-sequitur.

Halafu unajiona kwamba unajua.

Kumbe una unganisha vitu viwili tofauti visivyo na uhusiano wowote kuunda hitimisho potofu.

Kajielimishe kwanza sio kuandika vitu visivyo na mantiki.
Mjinga hawez kuelewa alafu nilisha kujibu siwez kubishana na wewe mkuu mbona unani fosi🤣🤣🤣
 
ambaye hajamuelewa mleta mada atafute YouTube clips za Bob Proctor, Neville Goddard, Joseph Murphy atapata mwangaza
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽 Watu n wavivu kutafuta maarifa alafu wanasogezewa maalifa wanaleta ujuaji mwingi mkuu,apo ndo tunapo feli
 
Nishati kusema ndo mungu hapo ndo umebugi mkuu,uenda mada yako ilikuwa nzuri na mhimu,lkn kwa neno hilo umeiharibu,hivyo imekosa maana,hapo utanyooshewa sana vidole.
 
Back
Top Bottom