Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 618
- 1,440
Samahani mkuu ila hapa mbona kuna contradiction au labda mimi ndo sijaelewa mstari vizuri, unamanisha nishati ndiyo jua pia ndiyo mungunishati/jua ndie mungu...
Yeah Mungu ni nishatiSamahani mkuu ila hapa mbona kuna contradiction au labda mimi ndo sijaelewa mstari vizuri, unamanisha nishati ndiyo jua pia ndiyo mungu
This kind of fallacy is called Logical non sequitur.Yeah Mungu ni nishati
Kwan umekatikaSiungi mkono
Wewe siwez kubishana na wewe sababu sio kwangu tu pia nakuonaga ata kwenye post za watu wengine Kaz Yako kubwa ni kupinga tu bila mashiko ujuaji mwingi mbele giza ,siku njemaThis kind of fallacy is called Logical non sequitur.
Unaunganisha vitu viwili tofauti visivyo na uhusiano wowote ule kuunda hitimisho potofu.
Nishati sio Mungu.
Mungu ni dhana uchwara mliojitungia huko vichwani mwenu.
Haingii akiliini vizuriKwan umekatika
Itaingia ikiwa ujaweka sawa icho kidonge chako Cha kuhifadhia meno π€Haingii akiliini vizuri
πππDahKwan umekatika
Sio poa π€£π€£π€£πππDah
Unajaribu kusema niniItaingia ikiwa ujaweka sawa icho kidonge chako Cha kuhifadhia meno π€
Hii imekaa vemaViumbe vyote chanzo chake ni nishati/nguvu/energy/roho iliyounda chembechembe, chembe zikaunda ulimwengu na ndani ya ulimwengu zikaunda viumbe, kiumbe imetokana na atom yenye nishati/nguvu/energy/roho ambayo kwenye dini huiita mungu, nguvu hiyo iko kila mahali na ndani ya kila kitu yaani atom ikawa molecule ikajiunga ikawa organile ikajiunga ikawa cell/kiini ikajiunga ikawa tissue, ikajiunga ikawa organ/kiungo hatimae organism au kiumbe, hiyo ndio asili ya vitu vyote ndio mungu mwenyewe, nishati ndio alpha/mwanzo au asili, nishati/jua ndie mungu...View attachment 3192991
Najaribu kusema mkuu kesho uwaiπ€£π€£π€£Unajaribu kusema nini
Aaaaah huo ni uongoo BWANA π π πViumbe vyote chanzo chake ni nishati/nguvu/energy/roho iliyounda chembechembe, chembe zikaunda ulimwengu na ndani ya ulimwengu zikaunda viumbe, kiumbe imetokana na atom yenye nishati/nguvu/energy/roho ambayo kwenye dini huiita mungu, nguvu hiyo iko kila mahali na ndani ya kila kitu yaani atom ikawa molecule ikajiunga ikawa organile ikajiunga ikawa cell/kiini ikajiunga ikawa tissue, ikajiunga ikawa organ/kiungo hatimae organism au kiumbe, hiyo ndio asili ya vitu vyote ndio mungu mwenyewe, nishati ndio alpha/mwanzo au asili, nishati/jua ndie mungu...View attachment 3192991