Viumbe vyote chanzo chake ni nishati


Kiongozi,
Yaani umesoma katopiki kamoja ka Biology - Classification (Form 5) kamekuchanganya hata unashindwa kuchanganua mambo?
Huwezi kujudge uwezo wa Mungu kirahisi rahisi hivyo
Kama una maarifa hata ukifikiria ufanyaji kazi wa mwili wako ni ushuhuda tosha wa uwepo wa Mungu mmoja, mwenye mamlaka yote juu ya vilivyopo Duniani na vilivyopo Mbinguni
 
Kuna viumbe vya kiroho na kimwili. Na kuna tusivyovijua kabisa na hatutavijua kabisa. Unazungumzia vipi
 
Swali dogo tu,unajua Mungu ni nani na yupo wapi tuanzie apo kwanzaπŸ€”
 
Hujui hata kama umefanya logical fallacy ya non-sequitur.

Halafu unajiona kwamba unajua.

Kumbe una unganisha vitu viwili tofauti visivyo na uhusiano wowote kuunda hitimisho potofu.

Kajielimishe kwanza sio kuandika vitu visivyo na mantiki.
Mjinga hawez kuelewa alafu nilisha kujibu siwez kubishana na wewe mkuu mbona unani fosi🀣🀣🀣
 
ambaye hajamuelewa mleta mada atafute YouTube clips za Bob Proctor, Neville Goddard, Joseph Murphy atapata mwangaza
πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½ Watu n wavivu kutafuta maarifa alafu wanasogezewa maalifa wanaleta ujuaji mwingi mkuu,apo ndo tunapo feli
 
Nishati kusema ndo mungu hapo ndo umebugi mkuu,uenda mada yako ilikuwa nzuri na mhimu,lkn kwa neno hilo umeiharibu,hivyo imekosa maana,hapo utanyooshewa sana vidole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…