Viumbe vyote chanzo chake ni nishati

Swali dogo tu,unajua Mungu ni nani na yupo wapi tuanzie apo kwanza🤔

Namjua Mungu hivyo naweza kukujibu hivi, Kuwa Mungu anasifa za kipekee zifuatazo;
1. Mungu ni mmoja tu,
2. Haja zaa na wala hajazaliwa,
3. Hana mwanzo na wala hana mwisho,
4. Muumba wa vilivyopo Duniani na vilivyopo mbinguni.
5. Hana mshirika; namaanisha hashirikiani na kiumbe chochote kufanya maamuzi japo kwa nyakati tofauti tofauti alituma viumbe kutekeleza au kufikisha ujumbe aliokusudia.

UMENIULIZA KUWA MUNGU ANAKAA WAPI....
Jibu; Mungu anakaa mbingu ya 7 (kwa lugha rahisi niseme, Anakaa kwenye Solar System ya 7) kwa kwenda juu japo uwezo wake na nguvu zake zipo mahala pote mbinguni na duniani
Nyongeza; Hii universe (ulimwengu) tunaoishi na nyota zake na Jua lake na sayari zake zooote, kwa ujumla wake ndio huitwa mbingu moja ambayo ni ya kwanza kutokea chini. Huko juu zipo nyingine sita na kufanya Jumla ya mbingu saba.
Kwa sayansi ndogo iliyopo hapa Duniani hadi leo, hatujaweza kuona hata juu ya Jua (au niseme nyuma ya jua), ina maana hata mbingu ya pili tu hatujaweza kuiona, japo tunajua zipo....
"Endelea kusoma; sayansi ina mambo mengi .....
 
This kind of fallacy is called Logical non sequitur.

Unaunganisha vitu viwili tofauti visivyo na uhusiano wowote ule kuunda hitimisho potofu.

Nishati sio Mungu.

Mungu ni dhana uchwara mliojitungia huko vichwani mwenu.
🤣 🤣 🤣
 
Wewe siwez kubishana na wewe sababu sio kwangu tu pia nakuonaga ata kwenye post za watu wengine Kaz Yako kubwa ni kupinga tu bila mashiko ujuaji mwingi mbele giza ,siku njema
Mkuu umeleta hoja, inaaminika umeitafiti kwa kina na kuamua kuileta hapa ili ichambuliwe.

Uchambuzi ndio kwanza umeanza wewe umeanza kuhamaki tulia.

Jibu kwa kutetea hoja yako sio kususa la sivyo ulicholeta hakina ukweli.
 
Mkuu umechanganya mambo mengi sana kiasi cha hoja yako kutoeleweka una zungumzia nini. Nipitie upya ila uweke sawa.
 
Endelea kudadavua kwa nini nyingine zir (-) na nyingine (+)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…