"Viumbe wasioonekana" wajenga Msikiti wa kisasa nchini Comoro. Maneno haya ya Sheikh Al hajj Dr sulle ni ya kweli?

Majini yalijinunulia na kiwanja wakaanza na msingi wakaleta mchanga nondo na cement wakaanza kujenga wakapaua na Aluminium wakaweka[emoji23][emoji23][emoji23]

kuna wakati inabidi uwe chizi ili uelewe upuuzi fulani wa hizi dini za kuletewa
C mpuuzi tu mkuu ,Bali tairi au kichaa kbs[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata mimi nalitamani sana jini, nikiliona nalioa kabisa.
Hayo mavitu yanaokoteza any form ya mwili ili kutimiza malengo yao.

Kikubwa ambacho unapaswa kuambiwa kabla ya kudate nao ni kwamba, hata uyaridhishe na kuyafurahisha namna gani; lazima yakupe zawadi ya kukuua ili usije ukapata nafasi ya kumrejea Muumba wako kwa toba.
 
Mbona nasikia mengine yamesilimu na yanafuata maagizo ya mola?

Hata akiniua poa tu, nitakuwa nimekula mzigo.
 
View attachment 2924255


Majini yamejenga msikiti yameweka Hadi grill🙌🙌 siment sijui yametumia ya dangote , au ya pakistani 😂 Mungu atusamehe

Majini wamejenga jengo mpaka vioo vya aluminium wameweka
Stori imekaa kimchongo hii..
Nani alikuwepo wakati hayo majini yanajenga aweke hapa video clip?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…