Mkuu na wewe ni wale mnaosubiri mabikra 72 mkifika mbinguni?Tatizo ni uelewa tu hapa, wengi wetu tuna maana mbaya sana juu ya majini. Ila ukweli ni kuwa kisichoonekana haimaanishi hakipo, majini wapo wazuri na wabaya pia.
Wasioelewa mambo ya kiroho tunaweza tukauliza maswali sana juu ya hili.