Viungo Bora Zaidi Kwenye Soka


6. Frank Lampard
7. Ricardo Kaka
8. Nemanja Matic
9. Cesc Fabregas
10. Claud Makelele
 
umemtaja hussein marsha alikuwa pamba kisha simba.

ukasahau method mogella alikuwa simba kisha yanga.

Athumani china kiboko ya hamis gaga unamkumbuka?

Nipishe Mimi Huna Unachokijua, Nenda UKAUKWEKE Ukalale.
 
[h=1]Marcos Senna España, Makelele.[/h]

 
Last edited by a moderator:
Usingemtaja maestro Pirlo fundi wa haswa haswa fundi na nusu,ningekutukana mkuu.Huyu bwana hata umfunge kitambaa machoni atakupigia pasi kwa usahihi akisikia sauti yako tuu.


hahaha...namuelewa sana Babu Pirlo
 


mahaba niue na msimbazi
 
Inasemekana kuwa ubabe wa Pele na Garincha ulitokana na KAZI nzito sana aliyoifanya kiungo aitwaye DIDI.

Hii hata Pele mwenye anakiri kuwa huyu jamaa alikuwa akitawala katikati basi Brazil haishikiki kirahisi.

 
Last edited by a moderator:
Inasemekana kuwa ubabe wa Pele na Garincha ulitokana na KAZI nzito sana aliyoifanya kiungo aitwaye DIDI.

Hii hata Pele mwenye anakiri kuwa huyu jamaa alikuwa akitawala katikati basi Brazil haishikiki kirahisi.



Brazil ya mwaka gani?
 
Last edited by a moderator:
Samahani,
Nilipoanza kusoma nilidhani anazungumzia viungo vya ALBINO.
 
Paul scholes,patrick viera,JJ Okocha,Sunday olise,Salvatory Edward
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…