Viungo Bora Zaidi Kwenye Soka

Viungo Bora Zaidi Kwenye Soka

Hiyo ya kina Pele,didi,revelino,gari ncha ni kikosi cha brazil mwaka 70 kinachukua ndoo kwa kumfunga Italy, wanakwambia hakuna kikosi bora cha brazil kana hicho bila kumsahau tostao.
 
_daniele_de_rossi_(as_roma).jpg
ungekuwa unatutajia na majina mkuu ungetusaidia sana
 
Elisha John,
Octavian Mrope,
Steven Mussa,
Michael Paul,
Dani Muhoja,
Ally Maumba,
Aston Pardon,
Nico Bambaga,
Issa Athuman,
Yusuf Kamba,
 
Hiyo ya kina Pele,didi,revelino,gari ncha ni kikosi cha brazil mwaka 70 kinachukua ndoo kwa kumfunga Italy, wanakwambia hakuna kikosi bora cha brazil kana hicho bila kumsahau tostao.

Brazil ya 1970, Garrincha hakuwepo, hapo winga teleza alikuwa Jaizinho.
 
zico, zidane, scholes and xavi, weka mbali na watoto
 
umemtaja hussein marsha alikuwa pamba kisha simba.

ukasahau method mogella alikuwa simba kisha yanga.

Athumani china kiboko ya hamis gaga unamkumbuka?

China alikuwa mzuri bali GAGA ni level nyingine (JUU) nafikiri alikuwa hawezi beki 3 NA golini tu. Hiyo china alikuwa kiboko yake ni WAKATI GAGA akicheza kinazi: pesa ya GULAMALI

Franz BacKenbeur West Germany

Gilbert Mahinya SIMBA SC , KISHA YANGA

Halid Abeid SIMBA

Nico Njohole SIMBA

Mohamed Rishard( Adolf) PAN Africa
 
Busquets,Iniesta,Alonso,Xavi,Fabregas,Javi Martinez na wote La Furia Roja
 
Marcos Senna España, Makelele.

Duuh!! Huyu hata sikuwahi kumsikia.Nimependa sana uchezaji wake anapiga mashuti ya mbali kama Claudio Marchisio.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, huyu kwenye mashindano ya dunia mwaka 2006 alikuwa anatoka mwanzo katika wachezaji 11. Aliwashangaza wengi sana kwani pale katikati hata akina Iniesta na Xavi ilibidi tu wamuache afanye kazi chafu zote. Ulikuwa pale katikati humpiti kirahisi kama siyo kwa MBINDE.

Mwaka 2008 wakati Spain wanashinda kombe la Ulaya, Senna aling'ara sana.

Alikuja akaumia mguu na hiyo ikawa imempoteza na akabaki kucheza timu ndogondogo tu. Too sad.

The Brazil-born midfielder is happy to do the dirty work for his team, as Spain dream of their first trophy in 44 years. Senna steals show | Football | The Guardian

<font color="#000080">

Duuh!! Huyu hata sikuwahi kumsikia.Nimependa sana uchezaji wake anapiga mashuti ya mbali kama Claudio Marchisio.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, huyu kwenye mashindano ya dunia mwaka 2006 alikuwa anatoka mwanzo katika wachezaji 11. Aliwashangaza wengi sana kwani pale katikati hata akina Iniesta na Xavi ilibidi tu wamuache afanye kazi chafu zote. Ulikuwa pale katikati humpiti kirahisi kama siyo kwa MBINDE.

Mwaka 2008 wakati Spain wanashinda kombe la Ulaya, Senna aling'ara sana.

Alikuja akaumia mguu na hiyo ikawa imempoteza na akabaki kucheza ligi ndogondogo tu. Too sad.

The Brazil-born midfielder is happy to do the dirty work for his team, as Spain dream of their first trophy in 44 years. Senna steals show | Football | The Guardian

Asante mkuu kwa maelezo.
 
Back
Top Bottom