Brazil ya mwaka gani?
Utanuna Sana Mwaka Ila Hao Kwangu Ndiyo Viungo Bora Zaidi Kuwahi Kutokea Si Tu Afrika Ya Mashariki Bali Afrika Na Dunia Kwa Ujumla.
- Khamis Tobias Gaga " Gagarino " ( RIP )..........Simba Sports Club
- Method Mogella " Fundi " ( RIP )..........Simba Sports Club
- Hussein Marsha " Injinia ".............Simba Sports Club
- Seleman Matola " Mzambia " / " Veron "............Simba Sports Club
- Patrick Tabu Mutesa Mafisango " Petit "..............Simba Sports Club
Kama alicheza na Pele na Garrincha, basi ujuwe ni ya miaka ya 60.
Ila hadi leo anaheshimika sana huyu jamaa.... kwao Brazil.
Andres Iniesta umemsahau mkuu, hii middle akiwa katika ubora wake kabla ya majeruhi alikuwa ni hatari sana.
1. Luis figo
2. Steve Gerrard
3. Clelrence seedof
4. Yaya Toure
5. Jay-jay okocha
ni mtazamo wako tu
Frank Rijkaard, Thomas Gravesen, Robert Prosinecki, Demetrio Arbetini, Paulo Sousa, Bakero, Didier Dsechamps, Edgar Davids, Lothar Matthaus, Enzo Scifo, De Boer brothers, Vladimir Jugovic, Olivier Dacourt, Juan Veron, Pep Guardiola.