Viungo Bora Zaidi Kwenye Soka

Jose maria Gutierez.
Dunga
Stephen karembeu
Juan roman riquelme
Edgar Davis
Stefen Effenberg
Francesco totti
sunday Oliseh
 

kwa #5 apo nime kuelewa mzeiya...jamaa alikuwa anatisha aema ndo ivyo yanga waka MFYETUA.....RIP
 
Jose maria Gutierez.
Dunga
Stephen karembeu
Juan roman riquelme
Edgar Davis
Stefen Effenberg
Francesco totti
sunday Oliseh

Mido zako karibia zote mbovu tu

Hawo uliowataja hata mbeya city hawachezi
 
Hapa kwetu Hussein Hamed Masha, Nico Bambaga, Mao Mkami hiyo Pamba mwanza ilikuwa balaa simba na yanga walikuwa wanakaa chini
 

Hapo ongezea Claudio Marchisio, Edgar Davids, Clarence Seedorf, Claude Makelele, Dietmar Hamman, Philip Cocu, Emmanuel Petit, Emerson, Gaucho, Vieira, David Silva, Juan Roman Riquelme,hao ni moja kati ya viungo bora wakati nawatazama naona mpira ni burudani.
 
Andres Iniesta umemsahau mkuu, hii middle akiwa katika ubora wake kabla ya majeruhi alikuwa ni hatari sana.

Huyu jamaa japo naichukia Barca lakini namuheshimu sana yaani anakokota na kumiliki mpira kwa miguu yote miwili hasa anapokua kwenye mazingira magumu ya kutoa pasi kama mtu utaamua kutulia na kuangalia video za kila kiungo uliyemtaja naamini Iniesta atakuvutia zaidi jinsi anavyosumbua watu kwenye kumkaba japo simaanishi kua yeye ndio bora kuliko wote.
 

Mimi ni shabiki wa Barca ila tukiweka ushabiki pembeni basi nitasema Iniesta ni kiungo hatari sana, anatoa pasi a uhakika, anakokota na anafanya chochote kileeee.
 
Fundi pirlo, michael ballack, iniesta, zizzou, stefan efferbeg, pavel nedved, mtakatifu cazorla, paul scholes, patrick viera, juan sebastian veron, riquelme... fabregas, xavi

Hao wote ninaokutajia nmewashuhudia kwa macho yangu mawili sio video za youtube, niliosahau mnikumbushe

Deco de souza, mendieta fundi, redondo, macmanaman, steven Gerrard, xabi alonso, bastian schweinsteger n.k bila kumsahau seedorf
 
Mido zako karibia zote mbovu tu

Hawo uliowataja hata mbeya city hawachezi

yaani wewe ndio mpira hujui kweli. Hivi ulipata kuwaona hawa watu wakicheza.? ama una hisia tuu walikuwa wabovu.?

Jose maria Gutierez.
Dunga
Stephen karembeu
Juan roman riquelme
Edgar Davis
Stefen Effenberg
Francesco totti
sunday Oliseh


hebu toa facts za kusema hawa viungo walikuwa wabovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…