Viungo gani vinafanya nyama kuwa laini na yenye ladha?

Viungo gani vinafanya nyama kuwa laini na yenye ladha?

Ambassador_

Member
Joined
Nov 27, 2020
Posts
26
Reaction score
45
Nawasilimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Naomba kujuzwa unapotaka kupika nyama yako (mfano; ya ng'ombe au Kuku) ni viungo vipi ukichanganya wakati wa kuchemsha nyama hiyo itaifanya kuwa yenye ladha na laini?

Asante.
 
Tangawizi, kitungu thaumu na pilipili manga pia unapoanza kuichemsha usiiwekee maji, baada ya kuiosha weka tu viungo ubandike had itakapoanza kuchemka ndio uweke maji
Thank you, this is helpful...
 
Ajinamoto ni nini?
ni aina fulani ya kiungo kipo km chumvichumvi au chenga za ndimu, maduka yote yanayouza vyakula ukimuuliza atakupatia ni kuanzia 2,000 mpaka 4,000 na zaidi, inapendeza uweke kwenye nyama upate supu
1620657263699.png
 
Kama ya kuchemsha kwa ajili ya soup au mchuzi ni
1. Limaoau ndimu.
2. Kitunguu swaum.
3. Curry powder.
4.Amaizing mchuzi masala.

Weka viungo vyote changanya iache nyama kwanza iingie viungo.

Kama ya kuchoma weka viungo vya juu vyote ongezea na tangawizi na mafuta ya kula.
 
Back
Top Bottom