Viungo gani vinafanya nyama kuwa laini na yenye ladha?

Ambassador_

Member
Joined
Nov 27, 2020
Posts
26
Reaction score
45
Nawasilimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Naomba kujuzwa unapotaka kupika nyama yako (mfano; ya ng'ombe au Kuku) ni viungo vipi ukichanganya wakati wa kuchemsha nyama hiyo itaifanya kuwa yenye ladha na laini?

Asante.
 
Tangawizi, kitungu thaumu na pilipili manga pia unapoanza kuichemsha usiiwekee maji, baada ya kuiosha weka tu viungo ubandike had itakapoanza kuchemka ndio uweke maji
Thank you, this is helpful...
 
Kama ya kuchemsha kwa ajili ya soup au mchuzi ni
1. Limaoau ndimu.
2. Kitunguu swaum.
3. Curry powder.
4.Amaizing mchuzi masala.

Weka viungo vyote changanya iache nyama kwanza iingie viungo.

Kama ya kuchoma weka viungo vya juu vyote ongezea na tangawizi na mafuta ya kula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…