Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,112
- 34,951
hii nyngne tena!
Kwaio ni Tofaouti Bunju?
Na mimi pia mdogo wanguDu! Only in Tanzania can happen. Sasa watu wote hao walikuwa hawana ndugu?kuna ndugu yangu aliondoka home tangu miaka ya 78 mpaka leo hajarejea..sijui....
Na mimi pia mdogo wangu alipotea akiwa form 4 mwaka 1998 hajawaionekana hata fununu.Lianzishwe JUKWAA LA KUTAFUTA NGUGU ZETU WALIOPOTEA KITAMBO KATIKA MAZINGIRA YA KUTATANISHA.
Katika vyuo vya udaktari miili inayotumika kwa ajili ya mafunzo yanapatikana kihalali kabisa na authorities zote zinakuwa full informed.Na mimi pia mdogo wangu
alipotea akiwa form 4 mwaka 1998
hajawaionekana hata
fununu.Lianzishwe JUKWAA LA
KUTAFUTA NGUGU ZETU
WALIOPOTEA KITAMBO KATIKA
MAZINGIRA YA KUTATANISHA.
Ni kweli hiyo miili ilipaswa kuteketezwa? Na kwa sababu gani? hiyo miili ni ya lini? Na hao watu walikosa ndugu wa kuwazika?Duuuu hatari!isije. Kuwa hosp zetu hazina maeneo ya kuteketeza uchafu wa hosp.maana ktk hali ya kawaida viungo vya watu mia si mchezo.ngoja tuone
Hilo ni kweli mkuu, juzi nimesoma kwenye Mwananchi kuna Hospital moja kule Sinza wanawake wanaojifungua wanapaswa kubeba ndoo ndogo ya Lita kumi kwa ajili ya kubebea kondo la uzazi mama akisha jifungua.Duuuu hatari!isije. Kuwa hosp zetu hazina maeneo ya kuteketeza uchafu wa hosp.maana ktk hali ya kawaida viungo vya watu mia si mchezo.ngoja tuone
lawmaina78 nadhani umepata jibuNukuu ya mwanafunzi wa IMTU.
"for a while our university administration imekua na matatizo..iliwahi kutokea miaka ya nyuma scenario kama hiyo ambapo mwanafunzi alieonekana na mkono mtaani of which hairuhusiwi hata kutoka na groves inje ya hicho chumba..sasa semester one ilimaliza kutumia hizo dead body on march zikatakiwa zitupwe..kwakua kifaa kilikua kibovu waliomba MuHAS wawasaidie ambapo inasemekana walisema nao kifaa(according to the guy anayehusika) chao kina shida wakaomba hindu mandal wakatakiwa kutoa 7m..ikacheleweshwa kutolewa..
Leo umoja wa vyuo vya madaktari Afrika mashariki ulikuja for inspection kwakua hazikutakiwa kuonekana wakaamua kufanya hivyo of which is illegal..
On friday nilikua mwenyewe ofisini and i heard one of teachers anaongelea kuzitoa hizo dead bodies"
Hilo ni kweli mkuu, juzi nimesoma kwenye Mwananchi kuna Hospital moja kule Sinza wanawake wanaojifungua wanapaswa kubeba ndoo ndogo ya Lita kumi kwa ajili ya kubebea kondo la uzazi mama akisha jifungua.
Rais legelege huunda serekali legelege na mifumo na taasisi zote zinakua legelege.
Mh mbona hatari sio sinza hospital kweli na akibeba anaenda kutupa wapi mbona majanga serikali na wizara wawe makini sio kufatilia vitu visivo na msingi
kudadeki sio chadema hao