Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

Isijekuwa tanuri la taka za Muhimbili halifanyi kazi wameamua kutupa hovyo mabaki ya watu.
 
tatizo huwa wanatangaza kupotea kwao hata wakipatikana hawaji kutoa mlishonyuma
 
Bunju iko hapa dar es salaam along bagamoyo road ukitoka mwenge past tegeta na boko!

Bunju iko mbele zaidi ya Boko....Magengeni....Usalama....Bunju A....kwa baharia kisha Bunju B
Kuna Bunju A na Bunju B ambako ndo mwisho kisha baada ya hapo ndo unalikuta daraja la Mpiji ambalo linaunganisha mkoa wa Dar na Bagamoyo.
.....Mizigo ilikutwa mbweni shule ya konsolata.....Mbweni unapitia pale njia panda ya Magengeni maarufu Dovya.
 
Isijekuwa tanuri la taka za Muhimbili halifanyi kazi wameamua kutupa hovyo mabaki ya watu.

i think ni hivi vyuo vya wahindi wasiothamini chochote zaidi ya pesa tu... kila medical facility inayodeal na products za viumbe hai hassa binadamu inalazimika kuwa na system ya kuondoa hizo taka kwa kufukia viwango vilivyowekwa, where ni tanuri, kuhifadhi, kusafirisha na hata kufukia chini.... chuo au hospitali haitakiwi kupractice kama hivyo vitu havijafanyika

corruption imezaa dharau kwa kila required condition kwa tanzania
 
Ni maiti mbili tu zilizokuwa na vichwa, nyingine zote hazina vichwa. Kwa mujibu wa askari polisi walizochukua kuzipeleka muhimbili usiku wa leo, maiti zote zikiwemo zile zilizokuwa zinavuja damu hazitoi harufu. Nyingi zilikuwa zimekaushwa na zimekatwatwa vipande vipande. Kwa wale tunaofikiri zimetoka vyuo vya kufundisha madaktari, wana JF madaktari watueleze kama kweli miili ya kujifunzia hukatwakatwa vipande?
 
vimetoka interchick kiwandani. inasemekana vimekatwa kwa ustadi mkubwa na mashine. Swali la kujiuliza . . kuna uhusiano gani kati ya kuku wa interchick na viungo vya binadamu?

Labda wanamix? ngoja Kova kesho
 
Ni kwamba motchwari zote zimejaa?? Hadi wawapeleke bunju??
 
usalama wa taifa wameshaanza kukusaka wewe mtoa uzi huu.......jiandae kuthibitisha.....vinginevyo pole sana.....

Inaelekea unawafahamu kabisa hadi njia zao za kufanya kazi zao??

Walishakukamataga?
 
Dah ngoja tusubiri kova atatueleza nn kuhusu hili...


If your not right...go left,,
 

Cadaver huishia kuwa vipande vipande. Zimekaushwa, harufu ya madawa yake ni kali sana.
 
Mmmh! Jamaanii sijui tunaenda wapi😭
 

Hao wataalam wanaosema hivyo ni wataalam wa nini labda? Cz haingii akilini hata kidogo kutupa maiti namna hiyo,bora hata wangezizika pamoja.
Labda maktari waje watuambie kuwa wakimaliza mafunzo yao kwa vitendo ndio wanatupa maiti majalalani kweli? kwanza kiafya ni hatari kwani magonjwa ya milipuko yanaweza zuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…