Mapi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 6,849
- 2,739
nilipata taarifa kama zako ila TBC na ITV maelezo yao kwa mujibu wa taarifa za hapa hawajaeleza hayo ya Toyota sasa sielewi kama ni kweli ama laJamani tusalini sana. Mmesikia kilichotokea jioni hii huko Bunju. Bodaboda wamefanikiwa kuikatama Susuz Carry iliyokuwa na miili ya watu zaidi ya 20 idadi kubwa ikiwa ni wanawake. Wamegawanywa vipande vinne na miili yote haina ngozi. Kwa mujibu wa reporter wetu aliyopo kituo cha Usalama Bunju anasema inasadikika miili hiyo imetoka maeneo ya Inter chick ila dereva ni wa Bunju hivyo wanasubiri uongozi Wa Juu Wa Polisi ufike eneo la tukio. Eeh Mungu tunusuru Watoto wako