Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

Hosipitali nyingi Dar na miji mikubwa Tz hazina mfumo wa kuteketeza (incinerators)taka kama hizi. Wizara ya Afya ndio chanzo. Mfano zilizolko maeneo ya msongamano kama Kariakoo, Mikocheni, City center ni hatari tupu. Hizi taka ni highly toxic / sumu kali or hazardous waste hazipaswi kupelekwa kwenye madampo ya kawaida jama Pugu.
 
Mwisho wa siku hii habari itapita kimya kimya kama nyingine...

Maana masalia ya miili hiyo yanaonesha kabisa kuwa yametolewa kwenye taasisi ya afya...
 
Haikuingii akilini inakuingia wapi sasa? ni kitu cha kawaida mahospitalini mkuu.

we ni m.s.e.n.g.e sana... Kitu cha kawaida kivipi? Kujifunza kwa kutumia maiti ni kitu cha kawaida huko huko katika mazingira na maabara ya hospitali. Lakini sio kawaida miili ya watu kutupwe hovyo katika mazingira ya watu. Je ilishawahi kutokea tena? Hiyo kawaida inakuwaje? Acheni kuleta majibu mepesi kwenye maswali magumu.
 
Maccm hayo na ma kafala yao ni zaidi ya viungo100,

Kaz kusaka urais magamba na hamtoupata
 
Muulizeni mtoa kucha na mng'oa meno kwa praizi a.k.a mvaa bendera shingoni.
 
Me sijaelewa badoo vzr hiyoo miili ndio walikua wants I Chang any is kwenye kuku supermarket amaa

Nyama za supermarket zilizopindwa au kusagwa zichunguzwe jaman huh ni unyama interchick jaman
 
Huku watani mnatubeza jinsi Kenya tunalipuana ilhali hata Bongo vituko vya kiajabu vinatendeka. Jameni miili ya watu mia ndani ya msitu. Duh! hatari na tenza noma sana, hayo ni mauaji ya kimbari. Anafaa mtu ashtakiwe ICC.

==========================================================
10556531_975957895751962_2369365397034521443_n.jpg

Mabaki ya miili ya watu zaidi ya 100 imekutwa katika msitu mdogo uliopo eneo la Mpiji, kata ya Mbweni, wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, ikiwa imetelekezwa.

Mabaki hayo ya miili yalionekana jana katika eneo hilo majira ya jioni na kuvuta mamia ya wananchi waliokwenda kushuhudia tukio hilo.


Mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo alisema , mabaki yalikuwa yamehifadhiwa katika mifuko ya plastiki ikiwa imefungwa juu.

Alisema mabaki hayo ambayo yamekaushwa na kuhifadhiwa katika mifuko ya ujazo wa kilo 25 ni pamoja na miguu, mikono, mbavu na mafuvu ya vichwa.

Alisema waliobaini kuwapo kwa mabaki hayo ni majirani wa eneo hilo ambao walitoa taarifa polisi.

Polisi walifika eneo la tukio na kuanza kupakia mabaki hayo katika gari lao lenye namba za usajili MS 54 UKH na kuipeleka hospitali kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kinondoni, Camilius Wambura, alipoulizwa alisema wakati huo alikuwa eneo la tukio na kwamba angetoa taarifa baadaye.

CC: Geza Ulole kadoda11 Bulldog
 
Haikuingii akilini inakuingia wapi sasa? ni kitu cha kawaida mahospitalini mkuu.

Hivi umekurupuka kutoka usingizini au umeandika ili uonekane tu umeandika? Tangu lini ikawa ni kitu cha kawaida hospitali kutupa viungo vya binadamu majalalani ten kwenye jalala la mtaani?
 
  • Thanks
Reactions: Sal
Hapa naamini kuna chuo kinahusika kati ya kairuki,muhimbili au IMTU.
ukiangalia mazingira ya hivyo vyuo na maeneo naamini IMTU ni suspect namba 1.
Kuna haja ya kuchunguza mifumo ya uteketezaji mabaki ya viungo vya wanadamu vilivyokuwa vinatumiwa kwa mafunzo ya udaktari.
Kumbukumbu zao zichunguzwe.
Naamini mpaka sasa mhusika atakuwa anafahamika au ameishajipeleka kwa maana ukiangalia hizo picha unajua kabisa ni shughuli za kitaasisi.
Halafu hayo mabaki yalikuwa hayatoi harufu ikimaanisha yalikuwa yanahifadhiwa vizuri.
Huyu aliyefanya hivi sio mtu binafsi
 
Nukuu ya mwanafunzi wa IMTU.

"for a while our university administration imekua na matatizo..iliwahi kutokea miaka ya nyuma scenario kama hiyo ambapo mwanafunzi alieonekana na mkono mtaani of which hairuhusiwi hata kutoka na groves inje ya hicho chumba..sasa semester one ilimaliza kutumia hizo dead body on march zikatakiwa zitupwe..kwakua kifaa kilikua kibovu waliomba MuHAS wawasaidie ambapo inasemekana walisema nao kifaa(according to the guy anayehusika) chao kina shida wakaomba hindu mandal wakatakiwa kutoa 7m..ikacheleweshwa kutolewa..

Leo umoja wa vyuo vya madaktari Afrika mashariki ulikuja for inspection kwakua hazikutakiwa kuonekana wakaamua kufanya hivyo of which is illegal..

On friday nilikua mwenyewe ofisini and i heard one of teachers anaongelea kuzitoa hizo dead bodies"
 
Hii miili itakuwa ya nchi jirani maana hatujasikia watu waliopotea kwenye mazingira ya kutatanisha bado
Labda walienda kununua ile ya lamu kenya
 
Polisi nako kuna orodha ya kupotea kwa watu lakini je wakipatikana watoa ripoti hawarudi kusema Kama wamepatikana au la!
 
kwahiyo akili zako zinakutuma humu member wote wa jf wapo Tanzania?

mimi niko Pyongyang, North korea, only jf ndio chombo changu cha kupata habari za nyumbani.

Only JF? karne ya 21????!!
 
Imefika wakati sasa tanzania tuwe na benki ya vipimo vya DNA kwa kila mtanzania;
Hii ingekuwa rahisi sana kuwatambua hao waliovaa hizo gloves;


Hata hivyo haya ni zaidi ya mauwaji ya kimbari
Tanzania iwekwe kwenye hali ya hatari mpaka muafaka wa hili upatikane.
 
Back
Top Bottom