Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

wanadai tukio hili lilitokea usiku lakini mbona elimu ndogo kabisa inaonesha hizi pICHA ZILIPIGWA MCHANA ,.oh mimi simo hapoo
 
Tumuulize Nanihii, Yule Gaidi Wa Kuwateka Watu, Anafuga Sana Madevu, Jina Limenitoka Kidogo
 
Hili jambo linatisha sana ila kwa upande mwingine inawezekana kabisa kuwa ni mkakati wa makusudi kuelekea kuanza kwa vikao vya Bunge Maalum la Katiba kwa minajili ya kuhamisha mawazo na akili za wananchi walio wengi...
 
habari hii hainiingii akilini,mbona hizi picha zimepigwa mchana jamani au mimi chongoo?
 
Haingiii akilini eti IMTU walishindwa kulipa ndipo wakaamua kwenda kutupa jalalani viungo vya binadamu? hapana hapana bado sikubaliani na hili. Sidhani kama thamani ya binadamu imefikia hatua hii ya kutupwa kwenye jalala.
 
Jamani tunapochangia tuwe waelewa, kwa kusema kuwa vimetoka kwa wanafunzi wa IMTU ni ngumu sn maana kuna ethics zake kuhusiana na miili hiyo(cadaver ethics) ya namna ya kuhifadhi na kuheshimu hiyo miili (disected bodies) so hapo ni polisi na pia kurudisha ishu hiyo hospitali kwa ajili ya uchunguzi (forensic)
 
IMTU HAIPO TANGIBOVU BALI IPO katikati ya manEO YA JOGOO NA INTERCHICK
 
Habari Wakuu.

Kwa habari zilizothibitika ni kwamba masalia ya viungo vya binadamu vilivyotupwa maeneo ya Bunju yametoka Chuo cha Udakatari IMTU kilichopo Mbezi Beach Dar baada ya wanafunzi kumaliza kuyatumia kwa mazoezi ya Practical (Cadaver).

Imekuwaje vikatupwa Bunju?

Kwa kawaida taka hatari kama hizi huwa zina mfumo maalum wa kuteketezwa kwenye tanuru (kuwa incinerated).


Kwa hiyo taka hizi walizipeleka Muhimbili kwa ajili ya kuteketezwa lakini hawakuwa na fedha za kulipia hivyo Muhimbili wakashindwa kuziteketeza kwenye tanuru maalum.

Baada ya hapo ndipo wakaamua kuja kumwaga maeneo ya Bunju.

My Take : Serikali sasa iamke kutoka usingizini sasa na ichukue hatua za haraka ikiwemo kuwachukulia hatua kale wale wote waliohusika na huu uzembe kwani ni hatari kwa mazingira na afya za watu.

we umetumwa wewe izo maiti hazina ndugu majaribio na miili ya watu wachawi
 
Haingiii akilini eti IMTU walishindwa kulipa ndipo wakaamua kwenda kutupa jalalani viungo vya binadamu? hapana hapana bado sikubaliani na hili. Sidhani kama thamani ya binadamu imefikia hatua hii ya kutupwa kwenye jalala.

Haikuingii akilini inakuingia wapi sasa? ni kitu cha kawaida mahospitalini mkuu.
 
ndugu tukio limetokea usiku na ss hivi ni asubuhi je huo mchana unatoka wapiii,mwisho wa siku tusubiri uhalisia zaid kutoka kwa wahusika
 
BREAKING NEWS: VIUNGO VYA BINADAMU VYANASWA VIKISAFIRISHWA

Tunaomba radhi kwa picha kama zinatisha.


Hivi ndivyo viungo vya binadamu vilivyokutwa kwenye mfuko usiku huu jijini dar es salaam!


Kwa taarifa zilizotufikia ni kwamba kuna gari zimenaswa likiwa limebeba shehena ya viungo vya binadamu maeneo ya bunju, dar es salaam.


Chanzo chatu ambacho ni whatsap kinasema kuwa viungo hivyo vilikuwa vimebebwa kwenye gari kama takataka vikiwa kwenye maroba madogo madogo na kutupwa kwenye jalala la takataka na dereva kufuata viungo vingine!


Hata hivyo kuna chanzo kingine kinadai kuwa miili hiyo ilikuwa inatumiwa na wafunzi madaktari wa chuo cha IMTU chilichoko Tanki Bovu Dar es es salaam.


Mmoja ya Kiungo cha Mguu


Baadhi ya Mifuko ambamo Maiti izo zilikuwa zimewekwa


Moja ya kichwa cha Binadamu ambacho kimetolewa katika moja ya Mifuko hiyo


Taarifa kamili itatolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es salaam.

Hii siyo breaking news ni makafara ya CCM tushayazoea
 
Humu hakuna mtu wa Muhimbili au IMTU atujuze? Kwa taasisi kubwa kama hizi hawawezi kufanya kitendo cha kinyama kama hiki. Haya mabaki yalistahili kuchomwa au kuzikwa/fukia sio kutupa tena mahali pa wazi kiasi hiki!!!!!!
 
ndugu tukio limetokea usiku na ss hivi ni asubuhi je huo mchana unatoka wapiii,mwisho wa siku tusubiri uhalisia zaid kutoka kwa wahusika

Mkuu tukio limetokea Jana mchana na taarifa zimefika mitandaoni Usiku!
 
Back
Top Bottom