Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

Ninaweza amoni kuwa imetoka hospitalini kwa sababu imekaushwa bila kutowa harufu mbaya
Lau kama ingelikuwa ni wahalifu ingelikuwa ya harufu mbaya
Wasingeweza kuifazi miili yote hiyo

Ila hawajatumia utu kuifazi na kuistiri miili ya binadamu vizuri
Bora wangeizika badala ya kutupa
 
Wewe jamaa ni mzima kweli au unatafuta comments za kutosha?
 
CCm at work


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Hapa lazima kuwepo na utofauti kati ya Binadam na mnyama jamani! Kama miili hii ingekuwa ni ya Fisi wala kusingekuwa na shida lakini sisi binadamu tunapoona miili ya wenzetu waliokufa tunapata wasiwasi juu ya mazingira ya vifo vyao na pengine huu mchezo wa kuchezea miili ya binadamu unaendelea.Serikali hebu ifanye uchunguzi wa kina then Watanzania wapate taarifa yenye uhakika!
 
Kitendo hicho ni cha kinyama mno. Kokote kule huo mzigo ulikotoka walipashwa aidha wachome moto au wachimbe shimo wafukie sio kutupa namna ile ambapo wananchi tayari tumeona na tunajiuliza kulikoni? Ni heri wangeenda kwa mkiti serikali ya mtaa kuomba kibali cha kutupa taka zisizokuwa za kawaida ktk eneo lake!

Polisi watupe taarifa inayoeleweka.

Kama viungo hivyo vimetoka hospitali kwa nini wameviweka mpaka vikawa vingi kiasi hicho!
 
aisee.., is this really happening..!!!? sasa kwa nini asingechimba a mass grave.., it would have been easier..! hii itakuwa ni tambiko la 2015.., huwa wanahitaji vitu kama moyo.., ini, na sex organs mara nyingi bila kusahau damu.

Yaan sis ccm lazima tushinde kwa kishino kwa 97% kwa jumla ya wapiga kura 2milion
 
Ningekuwa baadhi ya kiongozi sehemu flani ningeachia ngazi mapema maana dreva tayari kakata mzizi wa Fitina sasa ngoja tukalale tu tusubili utekelezaji wa wahusika hao kukamatwa.tumekeshaaaaa kufatilia haya mambo
 
wewe unaetetea kuwa miili hii imetoka imtu je ww ndio msemaji wao? Naje inawezekena vp wachune ngozi na kukata viungo? Acheni uchizi bana. Hadhi ya mwanadamu kwenye kizazi hichi haipo. Tunalaani na tunataka majibu stahiki. Sio mtupe majibu holela
 
Kuna uwezekano hayo mabaki yametolewa from one of the medical school in Dar ingawa sidhani kama kuna Chuo kinaweza kutumia idadi kubwa ya cadava kiasi hiki. Hakuna daktari asiepitia hatua hii. TATIZO ni hao waliokuja kutupa hapo. Kwa kawaida baada ya mafunzo mabaki yote huwa handled with dignity(kama tunavyowahandle marehemu wengine)...
 
wewe unaetetea kuwa miili hii imetoka imtu je ww ndio msemaji wao? Naje inawezekena vp wachune ngozi na kukata viungo? Acheni uchizi bana. Hadhi ya mwanadamu kwenye kizazi hichi haipo. Tunalaani na tunataka majibu stahiki. Sio mtupe majibu holela

Majibu gani hayo unayotaka kupewa mkuu tukutafutie?
 
mbaya sana. Uchunguzi tafadhali ili tujue nani anahusika na kwa nini?
 
Yatasemwa mengi sana juu ya hili lakini Dreva aliekamatwa ndo ataonyesha njia na ukweli utapatikana na tayari kashaonyesha njia kuojiwa masaa 4 na nusu pakuanzia pamepatikana
 
Haiingii akilini hata kidogo eti walishindwa kulipia kuteketezwa kwa mabaki hayo, katika infrastructure za mhimu na lazima ktk vitengo vya afya hadi tuu dispensary huwa kunatakiwa kuwe na Incinerator, iwaje kitengo cha Chuo Kikuu cha afya km IMTU kikose sehemu hiyo? Mnatafuta kutudanganya kwa vile waTanzania ni wepesi wa kukubali hata uwongo km huu.
Hii ni kitu wanaifanya watu walio nyadhifa za juu kiuongozi hatujui kwanini lakini watu wanapotea kila kukicha! Kama sio wahanga wa jambo fulani basi ni tafiti zilizo chini ya uvungu.
#Dah , Tanzania yetu!
 
We mwehu mleta mada yaani viungo vya binadam mwenzio unasema taka?we makalio Kweli labda viungo vya babayako.
 
mi CCM imefanya mambo haya kwa muda mrefu, sasa kwa sababu hizi ni siku zao za mwisho madhambi yao ndo yanawekwa wazi namna hii, ili kutoa fursa kwa utawala ujao kuyaadhibu bila huruma.
 
Back
Top Bottom