Upuuzi wa ccm huu
Tunahamishiwa kwenye movie nyingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upuuzi wa ccm huu
Kwa jinsi unavyoweka baadhi ya mabandiko humu nadhani una matatizo makubwa... I checked your started threads, iko shidaSerikali ya kipuuzi inaongozwa na wapuuzi ndio mana kila mtu anaamua lake. Unadhani kwenye nchi makini upuuzi ka huu utatokea? Poor ccm mnaua watu afunasema ni guinea pigs
Ni maiti mbili tu zilizokuwa na vichwa, nyingine zote hazina vichwa. Kwa mujibu wa askari polisi walizochukua kuzipeleka muhimbili usiku wa leo, maiti zote zikiwemo zile zilizokuwa zinavuja damu hazitoi harufu. Nyingi zilikuwa zimekaushwa na zimekatwatwa vipande vipande. Kwa wale tunaofikiri zimetoka vyuo vya kufundisha madaktari, wana JF madaktari watueleze kama kweli miili ya kujifunzia hukatwakatwa vipande?
Kwa jinsi unavyoweka baadhi ya mabandiko humu nadhani una matatizo makubwa... I checked your started thread, iko shida
umehamisha hata basic needs za mtu ziamuliwe na serikali, usafi kufuata masharti ya kitalam etc. hayana vyam
wewe ni tatizo
Inatisha sana.... Tanzania tunakoelekea siko
Naomba kujulishwa. ...hivi hivyo viungo ni feki au orijino??!! Kama orijino vimetoka wapi......??
itakuwa bunju ya GAZA,,, watu 100 sio mchezo lazima ingekuwa issue ya kitaifa
Usalama Wa taifa Mbweni ni jirani sana na Bunju.
Usalama Wa taifa Mbweni ni jirani sana na Bunju.
Serikali lazima itoe kauli juu ya hili. La sivyo hivi ni vifo vya siri na serikali iwajibike.