FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Confirmed
Haya ni masalia/Cadaver baada ya wanafunzi kuyatumia na kushindwa kuya incinerate (kuyachoma kwenye tanuru), kwa habari za uhakika ni kwamba haya masalia yametoka chuo kikuu cha IMTU kilichopo Mbezi Beach Dar, hawa Jamaa walipeleka haya masalia Muhas/Muhimbili kwa ajili ya kuwa incinerated lakini hawakuwa na hela hivyo Muhas hawakuteketeza haya masalia.
Ndipo sasa wakaamua kuja kuyatupa Bunju.
This is very un-ethical na udhalilishaji wa taalum, hatua kali zichukuliwe.
Hisia zangu ziliniambia hivyo.., hawa jamaa walitegemea nani aje kuyazoa sasa.., coz hizo cadaver zingeoza na kuzua tafrani! (By the way leo wote tumejifunza vocabulary mpya ya 'CADAVER').., tena mtu akiniudhi simuiti tena mbwa..., sasa hivi nakuita 'Cadaver' tu.., imekaa poa sana.., tena rahisi kweli kutamka.