Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,284
- 5,596
Nitakuwa na uhakika gani kama wamekiteketeza, what if (baadhi ya madaktari) wakakitumia kwa mambo yao ya kishirikina?Vinateketezwa
Nadhani upo sahihi. Vitakuwa vinateketezwa maana havifai tena kwa matumizi kama viungo vingine, mfano figo na maini.Vinateketezwa
๐คฃ๐คฃ๐คฃNadhani upo sahihi. Vitakuwa vinateketezwa maana havifai tena kwa matumizi mfano viun vingine kama figo na maini.
Mleta mada naona ingekuwa yeye angesema mguu wake uzikwe kwa heshima๐๐คฆ๐พโโ๏ธ
Kwahiyo miguu yako waitumie kwa mambo ya superstition?Nitakuwa na uhakika gani kama wamekiteketeza, what if (baadhi ya madaktari) wakakitumia kwa mambo yao ya kishirikina?
Huu ndio msingi na kiini cha uzi wako.Nitakuwa na uhakika gani kama wamekiteketeza, what if (baadhi ya madaktari) wakakitumia kwa mambo yao ya kishirikina?
Lolote linawezekana mkuuKwahiyo miguu yako waitumie kwa mambo ya superstition?
Huu sio msingi. Ni mawazo tu kama mawazo mengine.Huu ndio msingi na kiini cha uzi wako.
Na tayari umeanza kupoteza point linapokuja swala la hoja na ushirikina.
Nijenge kakaburi kadogo kwaajili ya mguu wanguNadhani upo sahihi. Vitakuwa vinateketezwa maana havifai tena kwa matumizi kama viungo vingine, mfano figo na maini.
Mleta mada naona ingekuwa yeye angesema mguu wake uzikwe kwa heshima๐๐คฆ๐พโโ๏ธ
Hiyo ni sawa lakini vipi kama nitataka kuondoka na mguu wangu naruhusiwa?Hapa tuite madaktari, kwa haraka haraka nahisi kwanza wanavitumia kujifunzia, ni kama vile maiti zinazokosa ndugu na nyinginezo, wanaosomea udaktari huwa wanafanyia mafunzo yao.
Kwa ethics za utabibu. Kiungo kinachokuwa kinaondolewa kwa nia ya amputation kutoka kwa mgonjwa ni lazima mhusika atoe kauli nini kifanyiwe. Kwa mfano wapo wanaoondoka na viungo vyao kwa minajili ya taratibu za kuvizika ardhini, wapo wanaoomba facility wavidispose na hapo kama hakuna uangalizi ndipo wazee wa nguvu za giza wanapaotea sana hapo ili kuvinunua kwa malengo yao, lakini pia facility wanaweza kurequest utafiti zaidi kwenye kiungo kilichoondolewa ili kubaini historia na ukubwa wa maradhi husikaLeo nilikuwa hospitali moja kwaajili ya matibabu. Nikamuona mzee mmoja kwenye wheelchair, ana mguu mmoja mwingine umekatwa kuanzia kwenye goti.
Hii ikapelekea nijiulize hivi viungo vinavyokatwa kwasababu ya magonjwa kama kisukari na mengine huwa vinapelekwa wapi.
Ni mgonjwa anapewa kiungo chake au hospitali wanaviteketeza?
Na kama mgonjwa anapewa kiungo chake, ni utaratibu gani anafanya? Kukiteketeza ama kukizika kwa heshima?
Mshana Jr
Msanii
makaveli10
Kama kuna option zote hizo basi imekaa vizuri. Thanks.Kwa ethics za utabibu. Kiungo kinachokuwa kinaondolewa kwa nia ya amputation kutoka kwa mgonjwa ni lazima mhusika atoe kauli nini kifanyiwe. Kwa mfano wapo wanaoondoka na viungo vyao kwa minajili ya taratibu za kuvizika ardhini, wapo wanaoomba facility wavidispose na hapo kama hakuna uangalizi ndipo wazee wa nguvu za giza wanapaotea sana hapo ili kuvinunua kwa malengo yao, lakini pia facility wanaweza kurequest utafiti zaidi kwenye kiungo kilichoondolewa ili kubaini
Inawezekana mila za watu wengine zipo hivyo. Inaweza isiwe kama ambavyo inakuwa kwenye msiba lakini kukihifadhi ardhini wewe mwenyewe kwa jinsi unavyopendelea, au hata kukichoma moto.YANI UZIKE KWA HESHIMA KIGANJA CHAKO ULICHOKATWA HUU NI MCHEZO SASA
๐๐๐Nadhani upo sahihi. Vitakuwa vinateketezwa maana havifai tena kwa matumizi kama viungo vingine, mfano figo na maini.
Mleta mada naona ingekuwa yeye angesema mguu wake uzikwe kwa heshima๐๐คฆ๐พโโ๏ธ
Angalau kuwe na heshima kidogo. Ni sehemu ya mwili wangu๐๐๐