Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,284
- 5,596
- Thread starter
- #41
Nadhani hizo maiti ni zile ambazo hazina ndugu zimekaa muda mrefu bila ndugu zao kuwapata.Achana na viungo vikatwavyo kwenye mwili wa binadamu, kuna hawa wanafunzi wa udaktari huwa wanapewa kitu inaitwa CADAVER. Huyu ni maiti anayeletwa toka nchi nyingine, kuondoa uwezekano wa mwanafunzi kukutana na ndugu yake..!! Nchi huwa zinabadilishana maiti. Maiti wa Tanzania anaweza akapelekwa nchi nyingine, na wa nchi nyingine akaletwa Tanzania. (A cadaver, often known as a corpse, is a dead human body. Cadavers are used by medical students, physicians and other scientists to study anatomy, identify disease sites, determine causes of death, and provide tissue to repair a defect in a living human being. Students in medical school study and dissect cadavers as a part of their education.) Baada ya muda kupita, hizo cadaver huchomwa moto kwenye incinerators. Kwahiyo hata viungo vilivyokatwa navyo hufanywa hivyo.
Au nyingine ni zile ambazo...hao watu kabla hawajafa waliruhusu maiti zao zitumike namna hiyo.
Kwa nchi za wenzetu kuna kitu kama hicho sasa kwa maiti za bongo kwenda nje ya nchi sijui ni utaratibu gani unatumika.