Viungo vya binadamu vinavyokatwa kwa sababu mbalimbali hupelekwa wapi?

Viungo vya binadamu vinavyokatwa kwa sababu mbalimbali hupelekwa wapi?

Kile kinakuwa kiungo kiwapo mwilinikikitengabishwa na mwili kinabadilika kuwa uchafu.... Huchomwa na muhimbili hapo Kuna vifaa maaLum vya kuchomea
 
Vinaweza kuteketezwa na kifaa maalumu ( incinerator).

View attachment 3121017
Pia vinaweza chukuliwa kwa tafiti za kisayansi na kimaabara kwa kibali kutoka kwa familia au kwa mgonjwa.
Dah..!! Umenikumbusha KMCL (Kahama Mining) kwenye makinikia. Tulikuwa na hii kitu. Kuna mshenzi aliiba baruti akaificha kwenye dust bin. Si ikaenda incinerator kuchomwa..!! Bahati nzuri kule incinerator takataka wanazichambua upya ndo wakaziona. Lingetukuta jambo.
 
Dah..!! Umenikumbusha KMCL (Kahama Mining) kwenye makinikia. Tulikuwa na hii kitu. Kuna mshenzi aliiba baruti akaificha kwenye dust bin. Si ikaenda incinerator kuchomwa..!! Bahati nzuri kule incineretor takataka wanazichambua upya ndo wakaziona. Lingetukuta jambo.
Duh ngoma ingeitika kama mpo Beirut 😁
 
Leo nilikuwa hospitali moja kwaajili ya matibabu. Nikamuona mzee mmoja kwenye wheelchair, ana mguu mmoja mwingine umekatwa kuanzia kwenye goti.

Hii ikapelekea nijiulize hivi viungo vinavyokatwa kwasababu ya magonjwa kama kisukari na mengine huwa vinapelekwa wapi.
Ni mgonjwa anapewa kiungo chake au hospitali wanaviteketeza?

Na kama mgonjwa anapewa kiungo chake, ni utaratibu gani anafanya? Kukiteketeza ama kukizika kwa heshima?

Mshana Jr
Msanii
makaveli10
Nadhani vinawekwa stoo ya spea za viungo kwa wenye mahitaji muhimu. Ili upate spea inakulazimu ufuate taratibu zote za kisheria ili usije ukazushiwa ndani ya daladala.
 
Leo nilikuwa hospitali moja kwaajili ya matibabu. Nikamuona mzee mmoja kwenye wheelchair, ana mguu mmoja mwingine umekatwa kuanzia kwenye goti.

Hii ikapelekea nijiulize hivi viungo vinavyokatwa kwasababu ya magonjwa kama kisukari na mengine huwa vinapelekwa wapi.
Ni mgonjwa anapewa kiungo chake au hospitali wanaviteketeza?

Na kama mgonjwa anapewa kiungo chake, ni utaratibu gani anafanya? Kukiteketeza ama kukizika kwa heshima?

Mshana Jr
Msanii
makaveli10
Achana na viungo vikatwavyo kwenye mwili wa binadamu, kuna hawa wanafunzi wa udaktari huwa wanapewa kitu inaitwa CADAVER. Huyu ni maiti anayeletwa toka nchi nyingine, kuondoa uwezekano wa mwanafunzi kukutana na ndugu yake..!! Nchi huwa zinabadilishana maiti. Maiti wa Tanzania anaweza akapelekwa nchi nyingine, na wa nchi nyingine akaletwa Tanzania. (A cadaver, often known as a corpse, is a dead human body. Cadavers are used by medical students, physicians and other scientists to study anatomy, identify disease sites, determine causes of death, and provide tissue to repair a defect in a living human being. Students in medical school study and dissect cadavers as a part of their education.) Baada ya muda kupita, hizo cadaver huchomwa moto kwenye incinerators. Kwahiyo hata viungo vilivyokatwa navyo hufanywa hivyo.
 
Back
Top Bottom