Viungo vya binadamu vinavyokatwa kwa sababu mbalimbali hupelekwa wapi?

Nadhani hizo maiti ni zile ambazo hazina ndugu zimekaa muda mrefu bila ndugu zao kuwapata.
Au nyingine ni zile ambazo...hao watu kabla hawajafa waliruhusu maiti zao zitumike namna hiyo.
Kwa nchi za wenzetu kuna kitu kama hicho sasa kwa maiti za bongo kwenda nje ya nchi sijui ni utaratibu gani unatumika.
 
Unaweza ukauchukua kama ni mguu, unaenda nao kuuchemsha na ndizi, kama ni mshale au nyoro. Unatoa machalari safi sana. Au ukipenda unauchemsha then una u rosti kwa ajili ya ugali. Inapendeza sana ukichemsha ,uuchemshe na pilipili au tangawizi ,ili kukata shombo. Na chumvi usiweke nyingi sana. Tia kwa mbaali.. NB: Joke
 
Umesahau kalimao kwa mbali
 
Huwa unasikia kitu kinaitwa Incinerator huko hospitalini au kwenye viwanda?
 
Mgonjwa hupewa nafasi ya kwanza ya kuamua.. Wengi huvichukua na kwenda kuzizika nyumbani.. Wengine huachia hospital iamue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…