Viungo vyangu mwenyewe katika mwili wangu lakini vinagoma kunipa ushirikiano

Hahaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila tz raha sana yaani. Huwa nafurahi sana sentensi za wakuu wakilalamika maisha namna wanavyotia chumvi
Aiseee kazi ipo afu baiskeli yenyewe iwe Ina matairi yenye pancha kudadekii
 
Dah pole sana bro. Sometimes watu wanalazimika kufanya hizo kazi ili wapate chochote maana ndio hivyo ni watu wengi wanahangaika na ajira hakuna wanaishia kuwa labourers kitu ambacho hakikizi hata mahitaji ya wiki. Jikaze ipo siku mambo yatanyooka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…