Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Mimi ni Mkristo! Nakupa ushauri uuchukue upone au uukatae utajua mwenyewe!Wakuu si kwema kabisa
Kazi za site za ujenzi wa wachina zinafanana na mauaji. Kupandisha na kiroba cha saruji floor ya 4 huku subuhi umekula maandazi mawili na chai ya mia sio poa
Nimeingia site nikajiona shujaa wa maisha hali niliyokutana nayo ndugu zangu sio poa kabisa. Wiki hii yote mpaka appetite ya kula imekata kabisa. Imenihangaisha kwelikweli leo nimeamka akili inataka mkono minute lakini mkono kuinuka hautaki.
Jana jioni nimetoka site nilikuwa natembea najiona kama niko juu ya baskeli. Sio vidole wala miguu haitoi ushirikiano kabisa. Kazi za site wazee zisikie tu. Inafikia kipindi hata viungonvya mwili unavikagua kama vipo mana kila ukitaka vikusaidia kufanya mjongeo havitokei kushirikiana na wazo lako
Kalaga baho
View attachment 3170405
Unganisha kazi ya mikono yako na moyo wako utakuja kunishukuru! Omba kwa kusema naunganisha kazi ya mikono yangu na moyo wangu
"Mithali 31:13; Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake ya mikono kwa moyo."