Viungo vyangu mwenyewe katika mwili wangu lakini vinagoma kunipa ushirikiano

Viungo vyangu mwenyewe katika mwili wangu lakini vinagoma kunipa ushirikiano

Wakuu si kwema kabisa
Kazi za site za ujenzi wa wachina zinafanana na mauaji. Kupandisha na kiroba cha saruji floor ya 4 huku subuhi umekula maandazi mawili na chai ya mia sio poa

Nimeingia site nikajiona shujaa wa maisha hali niliyokutana nayo ndugu zangu sio poa kabisa. Wiki hii yote mpaka appetite ya kula imekata kabisa. Imenihangaisha kwelikweli leo nimeamka akili inataka mkono minute lakini mkono kuinuka hautaki.

Jana jioni nimetoka site nilikuwa natembea najiona kama niko juu ya baskeli. Sio vidole wala miguu haitoi ushirikiano kabisa. Kazi za site wazee zisikie tu. Inafikia kipindi hata viungonvya mwili unavikagua kama vipo mana kila ukitaka vikusaidia kufanya mjongeo havitokei kushirikiana na wazo lako


Kalaga baho
View attachment 3170405
Dah!sijui hata nimeumia nini ila nimepata maumivu upande wa kushoto chini ya nyonyo
 
Hahahaaa..unanikumbusha mbali sana mzee..Enzi hizo nimetoka kumaliza form six nikasema ngoja nitafute kibarua kuliko kukaa home kibwege..nikaenda zangu sabasaba maonesho msimu ulikuwa unakaribia kwa hiyo walikuwa wanakarabati majengo..kuna jengo moja lilikuwa linatakiwa kuchimbuliwa floor ya zege.Hapo ndio nilipata kazi ..upana wake au kimo cha hiyo zege ni kama nusu mita (Means kutoka juu kwenda chini).Alooh nilipiga sururu kama ishirini hivi nikaona viganja vinachanika..nikawaachia kazi yao nikasepa..kesho kuamka viganja vimeota malenge lenge hahahaa.
Sururu 20 ukatoka na lengelenge 😂
Ulikuwa soft sana ila sishangai kwa sababu dar watu wengi hawafanyi kazi za nguvu.
 
Hizo kazi ni balaa kama sio mvumilivu huwezi kuzifanya.

Kuna kipindi nilifanyaga ile mwanzoni nikiwa naanza nimelala picha likaanza nikashtuka saa 6 mchana, najaribu kuamka nashangaa kinainuka kichwa tu mwili ukagoma hadi nilipojigeuza na kutafuta support ya mikono.
Mzee inauma sana pale ambapo unasimama na miguu ipo lakin unajiona kama uko juu ya baskeli mpaka uhakikishe kama miguu ipo kweli au lah
 
Mwache bwana bby wangu apambane akizipata ananipeleka kweli!achana na kiumbe kinaitwa mwanaume kina upendo wa ajabu kabisa
Imagine mtu humdai ila anakupa tu hela😂😂😂
Yani kanichekesha babe wako leo siku nzima nikikumbuka nacheka 😹😹😹

Kaua hapo aliposema mwili km yupo juu ya baiskeli 🤣🤣🤣
 
Ah wewe hawa watu wengine unawapruv wrong at glance kwa nadharia hizi za kumiliki hotel wakati ulianza n mchele mmoja sijui. Idea za pesa kuzitekeleza bila pesa haiwezakani. Hata kwa nidhamu ya pesa tu huwezi.. idea ni idea na pesa ni pesa, zoezi likitaka pesa idea haifui dafu

We subiri uone atashauri nn hapo
Kwahiyo unamkejeli ajae kwenye mfumo? 😹😹
 
Back
Top Bottom