Viungo wakabaji watano bora zaidi duniani

Viungo wakabaji watano bora zaidi duniani

Sawa kabisa sema mm naona baada ya Kante ni Sergio B
 
Wasioimbwa

Ndidi wilfred!! Huyu jamaa anapiga kazi nzito mno pale leicester city kama sikosei james maddison alisema ndidi anapiga kazi kubwa mnoo anapiga kazi za watu wawili

Lucas torreira mwamba wa america kusini!! Namkubali saana huyu kiumbe kila nlipokuwa nikimtizama nilikuwa naona kitu!! Mpambanaji! Mkabaji kweli kweli ila unai emery alishindwa kumtumia huyu muhuni! Akawa anamtumia box to box midfielder!! Wakat anaenda pale arsenal karibia game 6 mfululizo alikuwa anakuwa man of the match
 
Back
Top Bottom