OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Joginho anaremba sana naona hayupo vizuri kwenye kukaba
Kweni busquets ni mzuri kwenye kukaba?
Anavocheza jorginho hakuna tofauti kabisa na busquets yaani ni kama mtu na mdogo wake.
Fernandinho sio kiungo mkabaji pasee,yeye amekuwa tu converted ila by nature ni namba 8 yule
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna, na hatokuja tokea wa kuwafunika Masimo Ambrosini, Mswaki wa jini Demetrio Albertini na Generali Ivan Rhino Genaro Gattuso...
forza Milan
Muongezee hapo
Wakumbushe kuhusu Keane na Vierra pia.Tusimsahau Gilberto da Silva,"invisible wall",enzi hizo gunners!