Viupele hivi vinaota mara kwa mara kwenye uume na vinauma vibaya mno, ni ugonjwa gani?

Una ungonjwa unaoitwa Herpes, huu ugonjwa huambukizwa kwa njia ya Ngono au kugusana na maji maji ya mtu mwenye huu ugonjwa.

Ungonjwa huu ni virusi, hivyo hauna dawa. Lakini kwa takwimu ni ugonjwa usio madhara makubwa endapo mwili wako una kinga ya kutosha.

Ni kama mafua, ishi nao.

Pia kama ushawai kusikia watu wanasema wana vidonda mdomoni homa inapoondoka, mara nyingi huwa ni herpes pia, sema tu huwa hawasemi.

Huenda hao waliokutisha kwenye machapisho ya hapo juu wana herpes pia, ni vile tu hawajapima au hawajui dalili zake nyingine.

View attachment 3133465
Mkuu umeongea madini Sana hapa
 
Ukioga povu la sabuni halichagui kwa kupita linatililika tu mpaka kwenye mstari wa nyuma
Hapo bacteria ndo wanakuwa wanateketezwa sasa😃

Nimemshauri awe anapaka hiyo sabuni ili iwe mbadala wa kuwa anameza na kupaka acyclovir. Maana akiamua kumeza antibiotics itakuwa ndio utaratibu wake kwa kipindi chote cha maisha yake na sidhani kama matumizi ya muda mrefu ya antibiotics yataziacha salama figo zake.
 
. tafuta hii dawa
 
Attachments

  • Screenshot_20241023_190250_Google.jpg
    Screenshot_20241023_190250_Google.jpg
    198.2 KB · Views: 10
Hiyo inaitwa.....genital herpes, ni miongoni mwa magonjwa ya zinaa kwa kuanzia; nenda pharmacy kubwa nunua acyclovir cream paka ndani ya siku 7 then utaona mabadiliko......Kama hakuna mabadiliko wahi hospitalini usipate madhara makubwa zaidi
 
Yani hivi vinaota mara kwa mara kwenye uume na vinauma vibaya mno ,vinapoanza panaanza kuwasha kwanza halafu vikishatokezea kama vipele ila vinakuwa kama mtu kaungua na moto hv yaani ukiminya vinakuwa na maji yani vinauma kweli kweli.

Vinaweza kukaa kama miezi mwili ama mitatu vinarudi tena.

Kama kuna mdau alishawah kukutana na hii hali ama ana idea na hili tatizo msaada tafadhali.

Nitafute hapa via Whatsapp ±256785474279
 
Paka dawa ya Colgate au hata whitedent eneo lote p*Mbu unapolala. Ni scabies za kawaida
 
Diagnosis: Herpes genitalis(which is STIs)
Treatment: Acyclovir
Prevention: Protected sex with condom, treat your partner, avoid umalaya malaya
 
Yani hivi vinaota mara kwa mara kwenye uume na vinauma vibaya mno ,vinapoanza panaanza kuwasha kwanza halafu vikishatokezea kama vipele ila vinakuwa kama mtu kaungua na moto hv yaani ukiminya vinakuwa na maji yani vinauma kweli kweli.

Vinaweza kukaa kama miezi mwili ama mitatu vinarudi tena.

Kama kuna mdau alishawah kukutana na hii hali ama ana idea na hili tatizo msaada tafadhali.

Hpv ni ugonjwa wa zinaa unaoambukizwa wahi hospital ukiue kirus
 
Diagnosis: Herpes genitalis(which is STIs)
Treatment: Acyclovir
Prevention: Protected sex with condom, treat your partner, avoid umalaya malaya
Hiyo inaitwa.....genital herpes, ni miongoni mwa magonjwa ya zinaa kwa kuanzia; nenda pharmacy kubwa nunua acyclovir cream paka ndani ya siku 7 then utaona mabadiliko......Kama hakuna mabadiliko wahi hospitalini usipate madhara makubwa zaidi
otimbiotimbi dawa ndiyo hiyo waliokwambia. Hapa wadau

Kuongezea tumia na dawa za ant-bitic.
 
Yani hivi vinaota mara kwa mara kwenye uume na vinauma vibaya mno ,vinapoanza panaanza kuwasha kwanza halafu vikishatokezea kama vipele ila vinakuwa kama mtu kaungua na moto hv yaani ukiminya vinakuwa na maji yani vinauma kweli kweli.

Vinaweza kukaa kama miezi mwili ama mitatu vinarudi tena.

Kama kuna mdau alishawah kukutana na hii hali ama ana idea na hili tatizo msaada tafadhali.

Ukisikiaaa yiiiiiiiii ujue jiwe gizani, one man down we need ER 😂
 
Back
Top Bottom