Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Ukioga povu la sabuni halichagui kwa kupita linatililika tu mpaka kwenye mstari wa nyuma🤣🤣🤣
Sasa mkuu huwa unaipitisha huko ili iweje (kidding)😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukioga povu la sabuni halichagui kwa kupita linatililika tu mpaka kwenye mstari wa nyuma🤣🤣🤣
Sasa mkuu huwa unaipitisha huko ili iweje (kidding)😃
Mkuu umeongea madini Sana hapaUna ungonjwa unaoitwa Herpes, huu ugonjwa huambukizwa kwa njia ya Ngono au kugusana na maji maji ya mtu mwenye huu ugonjwa.
Ungonjwa huu ni virusi, hivyo hauna dawa. Lakini kwa takwimu ni ugonjwa usio madhara makubwa endapo mwili wako una kinga ya kutosha.
Ni kama mafua, ishi nao.
Pia kama ushawai kusikia watu wanasema wana vidonda mdomoni homa inapoondoka, mara nyingi huwa ni herpes pia, sema tu huwa hawasemi.
Huenda hao waliokutisha kwenye machapisho ya hapo juu wana herpes pia, ni vile tu hawajapima au hawajui dalili zake nyingine.
View attachment 3133465
Hapo bacteria ndo wanakuwa wanateketezwa sasa😃Ukioga povu la sabuni halichagui kwa kupita linatililika tu mpaka kwenye mstari wa nyuma
Linaitwa Doctor la Mbosso ft Jaivah.Hili songi linaitwaje? kuna siku naangalia Tv ilikiwa ni nyimbo za kidwanzi zinapigwa nikaona kuna fala limezungukwa na watu halafu anawauliza hilo swali!
Nitafute hapa via Whatsapp ±256785474279Yani hivi vinaota mara kwa mara kwenye uume na vinauma vibaya mno ,vinapoanza panaanza kuwasha kwanza halafu vikishatokezea kama vipele ila vinakuwa kama mtu kaungua na moto hv yaani ukiminya vinakuwa na maji yani vinauma kweli kweli.
Vinaweza kukaa kama miezi mwili ama mitatu vinarudi tena.
Kama kuna mdau alishawah kukutana na hii hali ama ana idea na hili tatizo msaada tafadhali.
Kama namuona anavyofungua zip kwa doctorNdo raha ya fake ID, sa Kwa daktari live live🤣🤣🤣
Hpv ni ugonjwa wa zinaa unaoambukizwa wahi hospital ukiue kirusYani hivi vinaota mara kwa mara kwenye uume na vinauma vibaya mno ,vinapoanza panaanza kuwasha kwanza halafu vikishatokezea kama vipele ila vinakuwa kama mtu kaungua na moto hv yaani ukiminya vinakuwa na maji yani vinauma kweli kweli.
Vinaweza kukaa kama miezi mwili ama mitatu vinarudi tena.
Kama kuna mdau alishawah kukutana na hii hali ama ana idea na hili tatizo msaada tafadhali.
Diagnosis: Herpes genitalis(which is STIs)
Treatment: Acyclovir
Prevention: Protected sex with condom, treat your partner, avoid umalaya malaya
otimbiotimbi dawa ndiyo hiyo waliokwambia. Hapa wadauHiyo inaitwa.....genital herpes, ni miongoni mwa magonjwa ya zinaa kwa kuanzia; nenda pharmacy kubwa nunua acyclovir cream paka ndani ya siku 7 then utaona mabadiliko......Kama hakuna mabadiliko wahi hospitalini usipate madhara makubwa zaidi
Mi huwa vinanitokea hasa nikipiga nyeto kavu ila baada ya muda vinapotea nakaa miezi mingi sana kukiwa na joto vinatokeaga tena vinajipasua vyenyewe vinatoa maji maji vinakauka. So visikutis
Ukisikiaaa yiiiiiiiii ujue jiwe gizani, one man down we need ER 😂Yani hivi vinaota mara kwa mara kwenye uume na vinauma vibaya mno ,vinapoanza panaanza kuwasha kwanza halafu vikishatokezea kama vipele ila vinakuwa kama mtu kaungua na moto hv yaani ukiminya vinakuwa na maji yani vinauma kweli kweli.
Vinaweza kukaa kama miezi mwili ama mitatu vinarudi tena.
Kama kuna mdau alishawah kukutana na hii hali ama ana idea na hili tatizo msaada tafadhali.
Nitafute hapa
Nitafute hapa via Whatsapp ±256785474279