Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 8,711
- 19,296
Ni m Tanzania kutoka wilaya ya kishapu MamaSamia2025
Ni zao la wale waliokuwa wafanyakazi wa chama cha ushirika Shinyanga yaani SHIRECU. Hata hiyo Arsenal ni mali yao. 😆Ni m Tanzania kutoka wilaya ya kishapu MamaSamia2025
Yule jamaaa nimemfuatilia kwa mda mrefu sana sijawahi kumwelewa.. zile ni kamba anatupiga au Kuna uhalisia Mkuu? Hadi kichwa kinauma😂😂Ni zao la wale waliokuwa wafanyakazi wa chama cha ushirika Shinyanga yaani SHIRECU. Hata hiyo Arsenal ni mali yao. 😆
Ni kamba. Kasema hata Marioo mwanamuziki ni mtu kutoka Kishapu na alitunga wimbo Mi Amor kumwimbia Kiongozi wa Barbados aitwae Mia Amor kwa sababu huyo kiongozi pia ni wa kutoka Shinyanga. Jamaa mwongo wa five starYule jamaaa nimemfuatilia kwa mda mrefu sana sijawahi kumwelewa.. zile ni kamba anatupiga au Kuna uhalisia Mkuu? Hadi kichwa kinauma😂😂
🤣Ni zao la wale waliokuwa wafanyakazi wa chama cha ushirika Shinyanga yaani SHIRECU. Hata hiyo Arsenal ni mali yao. 😆