Waziri wa Kaskazini JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 8,711 Reaction score 19,296 Oct 19, 2025 #41 Ni m Tanzania kutoka wilaya ya kishapu MamaSamia2025
MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 21,387 Reaction score 44,030 Oct 19, 2025 #42 Waziri wa Kaskazini said: Ni m Tanzania kutoka wilaya ya kishapu MamaSamia2025 Click to expand... Ni zao la wale waliokuwa wafanyakazi wa chama cha ushirika Shinyanga yaani SHIRECU. Hata hiyo Arsenal ni mali yao. 😆
Waziri wa Kaskazini said: Ni m Tanzania kutoka wilaya ya kishapu MamaSamia2025 Click to expand... Ni zao la wale waliokuwa wafanyakazi wa chama cha ushirika Shinyanga yaani SHIRECU. Hata hiyo Arsenal ni mali yao. 😆
Waziri wa Kaskazini JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 8,711 Reaction score 19,296 Oct 19, 2025 #43 MamaSamia2025 said: Ni zao la wale waliokuwa wafanyakazi wa chama cha ushirika Shinyanga yaani SHIRECU. Hata hiyo Arsenal ni mali yao. 😆 Click to expand... Yule jamaaa nimemfuatilia kwa mda mrefu sana sijawahi kumwelewa.. zile ni kamba anatupiga au Kuna uhalisia Mkuu? Hadi kichwa kinauma😂😂
MamaSamia2025 said: Ni zao la wale waliokuwa wafanyakazi wa chama cha ushirika Shinyanga yaani SHIRECU. Hata hiyo Arsenal ni mali yao. 😆 Click to expand... Yule jamaaa nimemfuatilia kwa mda mrefu sana sijawahi kumwelewa.. zile ni kamba anatupiga au Kuna uhalisia Mkuu? Hadi kichwa kinauma😂😂
MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 21,387 Reaction score 44,030 Oct 19, 2025 #44 Waziri wa Kaskazini said: Yule jamaaa nimemfuatilia kwa mda mrefu sana sijawahi kumwelewa.. zile ni kamba anatupiga au Kuna uhalisia Mkuu? Hadi kichwa kinauma😂😂 Click to expand... Ni kamba. Kasema hata Marioo mwanamuziki ni mtu kutoka Kishapu na alitunga wimbo Mi Amor kumwimbia Kiongozi wa Barbados aitwae Mia Amor kwa sababu huyo kiongozi pia ni wa kutoka Shinyanga. Jamaa mwongo wa five star
Waziri wa Kaskazini said: Yule jamaaa nimemfuatilia kwa mda mrefu sana sijawahi kumwelewa.. zile ni kamba anatupiga au Kuna uhalisia Mkuu? Hadi kichwa kinauma😂😂 Click to expand... Ni kamba. Kasema hata Marioo mwanamuziki ni mtu kutoka Kishapu na alitunga wimbo Mi Amor kumwimbia Kiongozi wa Barbados aitwae Mia Amor kwa sababu huyo kiongozi pia ni wa kutoka Shinyanga. Jamaa mwongo wa five star
T Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 8,472 Reaction score 17,249 Oct 25, 2025 #45 MamaSamia2025 said: Ni zao la wale waliokuwa wafanyakazi wa chama cha ushirika Shinyanga yaani SHIRECU. Hata hiyo Arsenal ni mali yao. 😆 Click to expand... 🤣 CC Charles Mandela
MamaSamia2025 said: Ni zao la wale waliokuwa wafanyakazi wa chama cha ushirika Shinyanga yaani SHIRECU. Hata hiyo Arsenal ni mali yao. 😆 Click to expand... 🤣 CC Charles Mandela