๐—ฉ๐—œ๐—ฉ๐—ข ๐—ซ๐Ÿฏ๐Ÿฌ๐Ÿฌ ๐˜‚๐—น๐˜๐—ฟ๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ผ๐—บ๐—ป๐˜†๐—ถ๐—บ๐—ฎ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐˜‡๐—ถ ๐—ฆ๐—”๐— ๐—ฆ๐—จ๐—ก๐—š ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฒ

Simu za Kichina sikuhizi kwenye quality meaning
  • Performance to price ratio
  • Camera
  • Battery
  • Speakers
Etc
Zimeziacha mbali tu simu za Samsung na Apple. Tatizo soko ndio hawana na watu wengi hawazijui
 
Design ya camera ni ya hovyo.

Pia VIVO unaipata na Android 16 na haitakuja kupata support yoyote baada ya hii. Wakati Samsung midrange mfano A56 unapata support mpaka 5.

Means bado utakua na simu up to date kwa miaka 5 mbele. Hii vivo mwakani tu inakua imeachwa in terms of software.

Kwa wabahili tukiwa tunanunua simu tuzingatie vitu kama hivi ili tuendelee kuonekana tunaenda na wakati bila mfuko kutoboka kila mwaka.
Uongo mkubwa sana.
vivo X300 Ultra inakuja na Android 16 na inapata 5 years major Android updates na 7 years security updates. Acha kudanganya watu
 
Kwenye flagship ni Apple Vs Samsung, na Huawei Ila ndio kabakia soko la china. Hao wengine mauzo Yao bado Sana kushindana na hao mabwana wakubwa.

Kwenye Android Samsung ana zaidi ya 50% marketshare ya flagship.

Kwa soko sawa, Samsung na Apple wako juu. Software na AI pia (Samsung iko poa)
Ila inapokuja kwenye suala la hardware Chinese flagships are more Ultra than S26 Ultra
 
Hata hio hardware it depends, mfano Display Samsung yupo vizuri zaidi, display zake ni angavu zaidi Hasa unavyotumia juani, zina hii privacy feature mpya etc

e19dc5893c9614995f69a3d0c61ed330.jpeg

Kwenye Usb huwa wanaweka yenye speed usual 3.2 gen 2 ili kusupport Samsung Dex na desktop out features nyengine, kwa Android ni Motorola Tu angalau kidogo anajutahidi wengine ni Tia maji Tia maji.

Wana spen, better modems has kwenye WiFi etc.
 
Hata hio hardware it depends, mfano Display Samsung yupo vizuri zaidi, display zake ni angavu zaidi Hasa unavyotumia juani, zina hii privacy feature mpya etc

View attachment 3582642

Kwenye Usb huwa wanaweka yenye speed usual 3.2 gen 2 ili kusupport Samsung Dex na desktop out features nyengine, kwa Android ni Motorola Tu angalau kidogo anajutahidi wengine ni Tia maji Tia maji.

Wana spen, better modems has kwenye WiFi etc.
Hii Desktop Mode sasahivi simu nyingi zinazo hata za Kichina. Samsung DeX might be better lakini Desktop Mode ya simu nyingine tayari zinafanya basic tasks just fine kwa kiasi kikubwa
Pia kampuni kama Xiaomi imeongeza feature ya Xiaomi Hyperconnectivity, unaconnect na devices nyingi sana hadi iPhones pia, kwa hiyo kushare files ni easier than other regular phones
Screenshot_20260501-225631.png

Feature kama Horizontal Lock ya kwenye S26 Ultra watu wanaipigia kelele sikuhizi ila vivo walikuwa nayo since 2019 I think

Nakumbuka wakati nasoma review ya Xiaomi 17 Ultra gsmarena kwenye verdict walikosa simu inayokaribia 17 Ultra out of China. The closest one ilikuwa vivo X300 Ultra ambayo nayo ni ya China
Hii Samsung other than few places ambako wapo best, haikuonekana kuleta real competition kwa Xiaomi 17 Ultra insane hardware capabilities
Wakaishia tu kuandika Xiaomi 17 Ultra is more Ultra than S26 Ultra

Pia USB Type C 3.2 Gen 2, haipo limited kwa Samsung, Xiaomi 17 Ultra ni Chinese phone na inatumia the same USB Type C 3.2 Gen 2, inasupport features kama Displayport, OTG everything

Zamani Chinese phones zilikuwa vyema kwenye midrange sasahivi hadi kwa flagships simu za Kichina zipo mbali sana. They keep producing best midrange phones na sasa wanatengeneza untouchable flagships. Sioni hata kama Samsung na Apple wanawafikia Wachina, basi tu wamebaki kuwa giants, wana soko kubwa, high global dominance na strong legacy kuliko Chinese phones
Screenshot_20260501-225526.png
 
Hii Desktop Mode sasahivi simu nyingi zinazo hata za Kichina. Samsung DeX might be better lakini Desktop Mode ya simu nyingine tayari zinafanya basic tasks just fine kwa kiasi kikubwa
Pia kampuni kama Xiaomi imeongeza feature ya Xiaomi Hyperconnectivity, unaconnect na devices nyingi sana hadi iPhones pia, kwa hiyo kushare files ni easier than other regular phones
View attachment 3582671
Feature kama Horizontal Lock ya kwenye S26 Ultra watu wanaipigia kelele sikuhizi ila vivo walikuwa nayo since 2019 I think

Nakumbuka wakati nasoma review ya Xiaomi 17 Ultra gsmarena kwenye verdict walikosa simu inayokaribia 17 Ultra out of China. The closest one ilikuwa vivo X300 Ultra ambayo nayo ni ya China
Hii Samsung other than few places ambako wapo best, haikuonekana kuleta real competition kwa Xiaomi 17 Ultra insane hardware capabilities
Wakaishia tu kuandika Xiaomi 17 Ultra is more Ultra than S26 Ultra

Pia USB Type C 3.2 Gen 2, haipo limited kwa Samsung, Xiaomi 17 Ultra ni Chinese phone na inatumia the same USB Type C 3.2 Gen 2, inasupport features kama Displayport, OTG everything

Zamani Chinese phones zilikuwa vyema kwenye midrange sasahivi hadi kwa flagships simu za Kichina zipo mbali sana. They keep producing best midrange phones na sasa wanatengeneza untouchable flagships. Sioni hata kama Samsung na Apple wanawafikia Wachina, basi tu wamebaki kuwa giants, wana soko kubwa, high global dominance na strong legacy kuliko Chinese phones
View attachment 3582674
Isome hivyo hivyo Dex, siku ukitumia Dex, na desktop mode nyengine utaelewa kwanini hazifananishiki, mi huwa situpi simu zikiharibika kioo Nina vipisi kibao vya Sony, LG, OnePlus, Samsung etc Dex ni next level hao wengine ni simu Tu inakua zoomed, unaweza Fanya hizo basics tasks basi Ila kutumia proper desktop mode bado wapo nyuma.

Pia privacy feature zipo siku nyingi what makes Samsung ya kipekee na kusikia hizi kelele nyingi ni sababu ndio kwa Kwanza kudesign kwa pixel level, sio feature ya display nzima Bali ya pixel separate, mfano nikupe practical usage, unaweza kuiset ifanye KAZI wakati wa kushusha pazia la notification Tu, assume upo na washkaji zako mnaangalia mpira na app ya Azam we umekaa katikati kama umeset notification ikija na hata ukivuta pazia kusoma unaona wewe Tu ila kurudisha pazia la notification watu wanaona mpira kama kawaida.

VIdeo inaelezea vizuri

View: https://m.youtube.com/watch?v=Io90MytZh1Y

Pia si kweli kwamba simu za Kichina zina midrange ama simu za bei rahisi Kali, ukiangalia Top 10 za mauzo simu za Samsung zilizofanya vizuri ni A56, A36 na A07, kwa simu zinazopatikana Worldwide probably kwenye price point yake ni Bora zaidi.

Mfano A07 hapa kwetu ni laki 2 Hadi 2 na nusu hakuna Mchina yoyote price point hio mwenye hardware Sawa na A07, na hata kwa Xiaomi simu za laki 3 unakuta bado hazijafikia A07 ni almost simu za laki 4 za kichina ndio unakuta zinatumika helio G99.

Same kwa A56 unazipata around laki 8 michina mingi inayokupa all around features kama hio bei juu zaidi.

Hata hizo flagship za kichina nyingi bei zake ndefu.

Ni almost miaka 5 sasa ama zaidi kina Xiaomi hawategenezi tena simu zenye value unless uagizishie model za kichina ama India, model zote za kimataifa ni overpriced.
 
Nilikuwa siongelei mauzo ya simu, na pia A07 sio midrange
Pia si kweli kwamba midrange za Samsung ni kali kuliko za Kichina. Simu kama A56 huwezi kufananisha na Poco X7 Pro

Samsung phones are just overrated, nowadays zipo simu za China kibao nzuri kuliko hizo Samsung kwenye midrange na sikuhizi hata flagship

Speaking of prices, of course Samsung ina starting price ndogo, huoni flagship yao ya 2026, base storage inaanzia 256GB, huwezi kutegemea kuuziwa sawa na Xiaomi 17 Ultra ambayo inaanza na 512GB kama base storage, na isitoshe wachina wameinvest effort kubwa sana kwenye simu zao. They're just not the same level with Samsung anymore. Hizo Samsung zilistahili ziwe even cheaper,
Ila still kwa same configuration 1TB vs 1TB Samsung ni more expensive in European countries kuliko Xiaomi
Screenshot_20260501-235533.png
 
Uongo mkubwa sana.
vivo X300 Ultra inakuja na Android 16 na inapata 5 years major Android updates na 7 years security updates. Acha kudanganya watu
Hauna haja ya kuandika kama vile usipoandika hivyo utakata roho.
 
I'm not sure I understand what this means ila point yangu ni kuwa si kweli kuwa vivo X300 Ultra haitopokea updatea tena
Tatizo umeandika kwa kujiamini sana, halafu ni kitu cha uongo
 
Nilikuwa siongelei mauzo ya simu, na pia A07 sio midrange
Pia si kweli kwamba midrange za Samsung ni kali kuliko za Kichina. Simu kama A56 huwezi kufananisha na Poco X7 Pro

Samsung phones are just overrated, nowadays zipo simu za China kibao nzuri kuliko hizo Samsung kwenye midrange na sikuhizi hata flagship

Speaking of prices, of course Samsung ina starting price ndogo, huoni flagship yao ya 2026, base storage inaanzia 256GB, huwezi kutegemea kuuziwa sawa na Xiaomi 17 Ultra ambayo inaanza na 512GB kama base storage, na isitoshe wachina wameinvest effort kubwa sana kwenye simu zao. They're just not the same level with Samsung anymore. Hizo Samsung zilistahili ziwe even cheaper,
Ila still kwa same configuration 1TB vs 1TB Samsung ni more expensive in European countries kuliko Xiaomi
View attachment 3582698
A07 ni low-end bei ila CPU yake inayoutumia definitely kina Tecno na Xiaomi wanatumia Hadi simu laki zinazokaribia milioni kama vile Redmi note 15 pro 4G masoko mengi inarange laki 7 Hadi 1M ikiwa na helio G200 na ufs 2.2 storage.

X7 pro haipo worldwide na pia si simu nzuri overall compare na A56, ina processor yenye Nguvu, Raw power kubwa na fast charging nzuri that's it.

A56 ina processor ya Exynos japo Raw power si kubwa ila ina advantage ya kuwa na GPU ya AMD issue za emulation Hasa kucheza games za pc ipo vizuri zaidi. All around vitu kama updates, premium build quality ya metal, camera nzuri, display nzuri, ip68 na vitu vingi ambavyo user wa kawaida anajali.

Kuhusu bei Asilimia 99.99 ya watu hawanunui hizo ultra za 1TB, Bali base version ndio huuza Sana, we unapenda kugoogle angalia base ya S26 now Ulaya ni Euro 700 Tu mpaka version ya 512GB around hio price unapata. Pia ukiachana na kugoogle angalia bei zetu huku Africa s26 pia ni same price, Tumia Avechi kucheki bei za East Africa na hapo ina Include Africa warranty inayocover mambo kibao Hadi kuvunja kioo.

Kupata Xiaomi 17 bei hio labda uagizishie China version bila warranty uanze kusumbuana na playstore.
 
I'm not sure I understand what this means ila point yangu ni kuwa si kweli kuwa vivo X300 Ultra haitopokea updatea tena
Tatizo umeandika kwa kujiamini sana, halafu ni kitu cha uongo
Hilo siyo tatizo kwakua review yake ilinionyesha hivyo. Na nimejibu hivyo kwakua simu chache sana nje ya giants hua zinaoffer hii kitu.
Screenshot_20260502-083756.png
 
A07 ni low-end bei ila CPU yake inayoutumia definitely kina Tecno na Xiaomi wanatumia Hadi simu laki zinazokaribia milioni kama vile Redmi note 15 pro 4G masoko mengi inarange laki 7 Hadi 1M ikiwa na helio G200 na ufs 2.2 storage.

X7 pro haipo worldwide na pia si simu nzuri overall compare na A56, ina processor yenye Nguvu, Raw power kubwa na fast charging nzuri that's it.

A56 ina processor ya Exynos japo Raw power si kubwa ila ina advantage ya kuwa na GPU ya AMD issue za emulation Hasa kucheza games za pc ipo vizuri zaidi. All around vitu kama updates, premium build quality ya metal, camera nzuri, display nzuri, ip68 na vitu vingi ambavyo user wa kawaida anajali.

Kuhusu bei Asilimia 99.99 ya watu hawanunui hizo ultra za 1TB, Bali base version ndio huuza Sana, we unapenda kugoogle angalia base ya S26 now Ulaya ni Euro 700 Tu mpaka version ya 512GB around hio price unapata. Pia ukiachana na kugoogle angalia bei zetu huku Africa s26 pia ni same price, Tumia Avechi kucheki bei za East Africa na hapo ina Include Africa warranty inayocover mambo kibao Hadi kuvunja kioo.

Kupata Xiaomi 17 bei hio labda uagizishie China version bila warranty uanze kusumbuana na playstore.
Sasa kumbe unafananisha price ya base storage. Then hakuna haja ya kulalamikia bei ya Xiaomi coz yeye base storage ni 512GB ambayo ni twice ya base storage ya Samsung. Not to mention expensive hardware iliyotumika kutengeneza Xiaomi 17 Ultra
Halafu speaking of East Africa, ni irrelevant. Xiaomi 17 Ultra hazipo East Africa officially. Wauzaji wa huku inapokuja suala la Xiaomi flagships wanajipangia tu bei, huwezi kutumia hizo kama reference ya official prices za Xiaomi

Also there's no way Galaxy A56 ikawa better than Poco X7 Pro in any part of the universe. The only thing kwenye A56 labda ni software reliability, na front facing camera. Vingine ni mediocre compared to Xiaomi Poco X7 Pro
Kwanza Poco X7 Pro ina faster charging speeds, faster memory (UFS 4.0 vs UFS 3.1), better IP rating (IP69 vs IP67), higher pixel density , newer Bluetooth version halafu Poco X7 Pro inafanya videos hadi za 4K@60fps kwa rear camera, A56 inaishia tu 30fps
Kwenye processor, A56 inachakazwa mbali na Poco X7 Pro in almost every benchmark out there, and it's slightly cheaper than A56

AnTuTu scores za X7 pro pekee ni 55% more than that of A56. Ingekuwa ni 5% labda ningesema zinafanana, lakini ni 55%. All that gap....
Si AnTutu pekee, bali kila benchmark
Hii ni Poco X series, ukihamia kwenye Poco F series ndio habari nyingine kabisa
Hakuna siku Samsung atafikia level ya midrange za China, tho Samsung wako vizuri kwenye suala la Global presence ya simu zao so ni easier to recommend, hii ndio part ninayoona Wachina wako nyuma, ila sio devices zenyewe
Kwa nchi ambazo Wachina wana release hizi simu officially they are so lucky to have these options
Screenshot_20260502-090453.png
Screenshot_20260502-090504.png
 
Hilo siyo tatizo kwakua review yake ilinionyesha hivyo. Na nimejibu hivyo kwakua simu chache sana nje ya giants hua zinaoffer hii kitu.
View attachment 3582735
Sawa mkuu nimekuelewa
Next time ukiingia hapo GSMArena, fungua review ya hiyo simu, soma section ya Software and performance
Huko ndio mara nyingi utakutana na years of software updates zimeandikwa
Screenshot_20260502-092840.png
 
Sasa kumbe unafananisha price ya base storage. Then hakuna haja ya kulalamikia bei ya Xiaomi coz yeye base storage ni 512GB ambayo ni twice ya base storage ya Samsung. Not to mention expensive hardware iliyotumika kutengeneza Xiaomi 17 Ultra
Halafu speaking of East Africa, ni irrelevant. Xiaomi 17 Ultra hazipo East Africa officially. Wauzaji wa huku inapokuja suala la Xiaomi flagships wanajipangia tu bei, huwezi kutumia hizo kama reference ya official prices za Xiaomi

Also there's no way Galaxy A56 ikawa better than Poco X7 Pro in any part of the universe. The only thing kwenye A56 labda ni software reliability, na front facing camera. Vingine ni mediocre compared to Xiaomi Poco X7 Pro
Kwanza Poco X7 Pro ina faster charging speeds, faster memory (UFS 4.0 vs UFS 3.1), better IP rating (IP69 vs IP67), higher pixel density , newer Bluetooth version halafu Poco X7 Pro inafanya videos hadi za 4K@60fps kwa rear camera, A56 inaishia tu 30fps
Kwenye processor, A56 inachakazwa mbali na Poco X7 Pro in almost every benchmark out there, and it's slightly cheaper than A56

AnTuTu scores za X7 pro pekee ni 55% more than that of A56. Ingekuwa ni 5% labda ningesema zinafanana, lakini ni 55%. All that gap....
Si AnTutu pekee, bali kila benchmark

Hakuna siku Samsung atafikia level ya midrange za China
Umezunguka kuelezea perfomance hakuna anaekataa kuhusu performance, Ila as I told you Xclipse GPU compability yake huwezi linganisha na Mali ya Mediatek kamwe, utaishia kucheza games za simu wakati wenzako wanacheza real games za pc, Nintendo switch na nyenginezo, so hio perfomance yako itaishia Tu kwenye dream league na and the likes.

Pia there is no such thing as premium hardware kwenye Poco, brand inayoongoza Kufa motherboard papo hapo, MTU yoyote anayenunua Poco anafahamu fika kwamba ananunua cheap hardware for the sake of perfomance, ni brand ambayo inafocus kwenye performce Tu, simu nzima ni full plastic mpaka middle frame, siku ukishika hizi simu side by side ndio utaelewa why watu wanasema ni cheap hardware hazina tofauti na Tecno kivile body yake

Kuhusu hizo Xiaomi 17 waweza Tumia Gsmarena hapa kuangalia price
Base S26

Base Xiaomi 17

Zote zina 256 na 512GB na utofauti wa bei ni mkubwa Tu.

Same kwa Ultra
S26 ultra

Xiaomi 17 ultra

Hata ukichukua hio 512 Vs 512 version ya Samsung ni โ‚ฌ1080 Vs over โ‚ฌ1400 Xiaomi, utofauti mkubwa mno, hata ukienda 1TB, โ‚ฌ1380 Vs โ‚ฌ1950

So Xiaomi ni milioni Hadi Milioni na nusu more expensive, at same storage level, still Samsung wanatoa version ya 256GB ambayo ni chini ya Euro 1000. Watu wachache mno watalipa hio bei kununua Xiaomi over Samsung.

Sasa hivi Mauzo ya Xiaomi yanashuka all over the world, simu zao zimekua ghali hazina value tena,
 
Design ya camera ni ya hovyo.

Means bado utakua na simu up to date kwa miaka 5 mbele. Hii vivo mwakani tu inakua imeachwa in terms of software.

Kwa wabahili tukiwa tunanunua simu tuzingatie vitu kama hivi ili tuendelee kuonekana tunaenda na wakati bila mfuko kutoboka kila mwaka.
๐Ÿค%๐Ÿ’ฏ A56 ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Umezunguka kuelezea perfomance hakuna anaekataa kuhusu performance, Ila as I told you Xclipse GPU compability yake huwezi linganisha na Mali ya Mediatek kamwe, utaishia kucheza games za simu wakati wenzako wanacheza real games za pc, Nintendo switch na nyenginezo, so hio perfomance yako itaishia Tu kwenye dream league na and the likes.

Pia there is no such thing as premium hardware kwenye Poco, brand inayoongoza Kufa motherboard papo hapo, MTU yoyote anayenunua Poco anafahamu fika kwamba ananunua cheap hardware for the sake of perfomance, ni brand ambayo inafocus kwenye performce Tu, simu nzima ni full plastic mpaka middle frame, siku ukishika hizi simu side by side ndio utaelewa why watu wanasema ni cheap hardware hazina tofauti na Tecno kivile body yake

Kuhusu hizo Xiaomi 17 waweza Tumia Gsmarena hapa kuangalia price
Base S26

Base Xiaomi 17

Zote zina 256 na 512GB na utofauti wa bei ni mkubwa Tu.

Same kwa Ultra
S26 ultra

Xiaomi 17 ultra

Hata ukichukua hio 512 Vs 512 version ya Samsung ni โ‚ฌ1080 Vs over โ‚ฌ1400 Xiaomi, utofauti mkubwa mno, hata ukienda 1TB, โ‚ฌ1380 Vs โ‚ฌ1950

So Xiaomi ni milioni Hadi Milioni na nusu more expensive, at same storage level, still Samsung wanatoa version ya 256GB ambayo ni chini ya Euro 1000. Watu wachache mno watalipa hio bei kununua Xiaomi over Samsung.

Sasa hivi Mauzo ya Xiaomi yanashuka all over the world, simu zao zimekua ghali hazina value tena,
Poco kuna models kama X3 Pro ndio zilikuwa zinakufa motherboard hovyo, hizi models ndio Poco haters mitandaoni mkazitumia kugeneralize simu za brand nzima ya Poco.
Problem ya motherboard Poco sio kubwa ukilinganisha na green lines za Samsung S series ila because ni Samsung mnaweza kuipa free pass

Halafu why unaongelea plastic as if ni kitu negative? Plastics zimekuwa zikiperform way better kwenye drop tests na everyday durability. Hata sio negative point kabisa the way unavyojaribu kuiweka

Pia who plays PC games on phones? Hiyo ni ya wachache sana. Most people would rather use PC for PC games than some Galaxy A56. Even cheap PCs would perform way better than A56's unnecessary feature
Majority wanatumia simu kucheza games za simu, you know games that phones are meant to play, and in this part Poco phones are way way better than Galaxy A56
The only reason unajaribu ku overlook raw power ya Poco X7 Pro ni kwa sababu unajua A56 ni mediocre kwenye hiyo segment

Halafu prices, just because kuna cheaper deals mbili tatu za Samsung haimaanishi hiyo ndio bei yake halisi. Most places Samsung ni expensive bado, GSM Arena wanajaribu kutafuta zile best deals ndio wanaweka hapo

Kwa hii link yako yenyewe inaonesha UK, S26 Ultra ya 12GB 512GB ni ยฃ1141.98 na Xiaomi 16GB 512GB ni ยฃ1,199,00, tofauti ya ยฃ58 tu unapata 4GB more RAM na at the same time Xiaomi 17 Ultra ni superior to S26 Ultra, which still makes sense kwa nini Xiaomi ni expensive
Mauzo ya Xiaomi hata yakishuka, still haibadilishi ukweli kuwa wanatengeneza better flagships na midrange kuliko Samsung
Sio Xiaomi tu, hata vivo na Oppo wanatengeneza flagships nzuri kuliko Samsung
 
Back
Top Bottom