๐—ฉ๐—œ๐—ฉ๐—ข ๐—ซ๐Ÿฏ๐Ÿฌ๐Ÿฌ ๐˜‚๐—น๐˜๐—ฟ๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ผ๐—บ๐—ป๐˜†๐—ถ๐—บ๐—ฎ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐˜‡๐—ถ ๐—ฆ๐—”๐— ๐—ฆ๐—จ๐—ก๐—š ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฒ

๐—ฉ๐—œ๐—ฉ๐—ข ๐—ซ๐Ÿฏ๐Ÿฌ๐Ÿฌ ๐˜‚๐—น๐˜๐—ฟ๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ผ๐—บ๐—ป๐˜†๐—ถ๐—บ๐—ฎ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐˜‡๐—ถ ๐—ฆ๐—”๐— ๐—ฆ๐—จ๐—ก๐—š ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฒ

Mistari inatoka kwa Samsung ila imeathiri simu zote sababu Samsung ndio anauza display za flagship, OnePlus, Oppo, Sony, Apple etc zote zina mistari. Cha muhimu epuka Tu simu zilizotengenezwa baina ya 2020-2022, hizi mpya s26, 25, 24 etc hazina tatizo Hilo ama kama lipo ni kwa uchache Sana.
Usemacho ni sahihi, nimeona sehemu pia wanasema hivyo kuwa kuanzia s23 ultra wameimprove.
 
View attachment 3582355

Kama Kuna simu ambayo kampuni ya Samsung bado inawanyima usingizi kwa mwaka 2026 basi Vivo X300 Ultra Toka China.

Kampuni ya vivo imeachia simu Bora nzuri kwenye kila Eneo kwa mwaka 2026, ambayo ni VIVO X300 Ultra, kuanzia upande wa Kamera ni nzuri mno Yani nzuri Balaa inatoa picha Kali Sana.

View attachment 3582358View attachment 3582359

Upande wa video inatoa video zenye ubora bila hata kuhitaji usaidizi wowote Toka vifaa vingine vya Kamera, Yenyewe tu video ukichukua inatoa kitu chenye ubora ni nzuri kwa wale wazee photographer.

Betri lake ni balaa 6,600mah ikiwa na 100W chaji ikiwa na Teknolojia Ya ZEISS camera sensor yenye kutoa picha nzuri kuendana na Mazingira.

View attachment 3582360View attachment 3582361

Ila zote zinatumia processor za Snapdragon 8 Elite / Gen 5 Processor nzuri kwenye Games uhitaji kuwa na barafu kupooza simu yako ๐Ÿ˜‰.

View attachment 3582362View attachment 3582363

Unasemaje bingwa nani Samsung au Vivo kwenye Kamera ?
Mimi hiyo arrangement ya Camera naiona ya Kishamba sana sijui kwanini Infinix walizindua hilo Duara.
 
Dah, ilikuaje ikachora mistari?
Ilitokea tu sometimes nikiwa nimeishika ukiwasha unakutana na mstari,

Kuna wanaosema simu fake, sio kweli kabisa, hii ilinunuliwa huko huko kwao lakimi imejichora mistari ya kutosha,
 
Ilitokea tu sometimes nikiwa nimeishika ukiwasha unakutana na mstari,

Kuna wanaosema simu fake, sio kweli kabisa, hii ilinunuliwa huko huko kwao lakimi imejichora mistari ya kutosha,
Hii ya mistari inavunja sana moyo, nikiona mistari simu inakosa utamu wa kuitumia.
 
Back
Top Bottom