adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 17,595
- 39,893
Poor mindsetLipia tangazo
Poor mindsetLipia tangazo
Mitandaoni watu wengi wanasifia kamera ya VivoAcha uwongo hakuna yoyote aliyekosa usingizi
Ndio , imekaa kishamba sana ila ubora ๐ฅ ๐ฅ ๐ฅDesign ya camera (vivo) haivutii.
Tatizo lako mkuu unatumia Google Sana bila uhalisia, mtafute mdau wowote wa simu akupe mkeka wa Samsung Tanzania ama Tumia Avechi, mikeka niliyonayo bei hazitofautiani Sana na Avechi.Poco kuna models kama X3 Pro ndio zilikuwa zinakufa motherboard hovyo, hizi models ndio Poco haters mitandaoni mkazitumia kugeneralize simu za brand nzima ya Poco.
Problem ya motherboard Poco sio kubwa ukilinganisha na green lines za Samsung S series ila because ni Samsung mnaweza kuipa free pass
Halafu why unaongelea plastic as if ni kitu negative? Plastics zimekuwa zikiperform way better kwenye drop tests na everyday durability. Hata sio negative point kabisa the way unavyojaribu kuiweka
Pia who plays PC games on phones? Hiyo ni ya wachache sana. Most people would rather use PC for PC games than some Galaxy A56. Even cheap PCs would perform way better than A56's unnecessary feature
Majority wanatumia simu kucheza games za simu, you know games that phones are meant to play, and in this part Poco phones are way way better than Galaxy A56
The only reason unajaribu ku overlook raw power ya Poco X7 Pro ni kwa sababu unajua A56 ni mediocre kwenye hiyo segment
Halafu prices, just because kuna cheaper deals mbili tatu za Samsung haimaanishi hiyo ndio bei yake halisi. Most places Samsung ni expensive bado, GSM Arena wanajaribu kutafuta zile best deals ndio wanaweka hapo
Kwa hii link yako yenyewe inaonesha UK, S26 Ultra ya 12GB 512GB ni ยฃ1141.98 na Xiaomi 16GB 512GB ni ยฃ1,199,00, tofauti ya ยฃ58 tu unapata 4GB more RAM na at the same time Xiaomi 17 Ultra ni superior to S26 Ultra, which still makes sense kwa nini Xiaomi ni expensive
Mauzo ya Xiaomi hata yakishuka, still haibadilishi ukweli kuwa wanatengeneza better flagships na midrange kuliko Samsung
Sio Xiaomi tu, hata vivo na Oppo wanatengeneza flagships nzuri kuliko Samsung
redmitanzania.com
Tatizo lako mkuu unatumia Google Sana bila uhalisia, mtafute mdau wowote wa simu akupe mkeka wa Samsung Tanzania ama Tumia Avechi, mikeka niliyonayo bei hazitofautiani Sana na Avechi.
Hii link Avechi
-Galaxy s26 105K ksh equivalent to Euro 693 na version ya 512GB inaongezeka ksh 5k Tu.
-s26 ultra 512GB ni 155K ksh ambayo ni Sawa na Euro 1024, 1TB ni 196K Sawa na Euro 1295
So si kweli hizo bei za Gsmarena ni deals, bei za kwetu ni rahisi Sana compare na wanazoweka Gsmarena, hata kwa Ulaya ukitaka deals nitakuwekea links zake.
Na hii si flagship Tu, angalia bei za Redmi Tigoshop ama official page Yao. .Redmi 15C inapitwa Hadi na A07, uki compare na A16 ambayo bei ni Sawa mtaani inapitwa kila idara.
Ukija Redmi 15 plain wameizindua official 575,000 huku, pro plus inauzwa 1.1M, kwa bei hio unapata S24/25FE ambazo ni almost flagship level.
Hizi official bei za Redmi
![]()
Products
Nunua simu za Redmi Tanzania bei nafuu. Original 100%, delivery haraka Dar es Salaam. Stock mpya kila wakati. Malipo salama. Agiza leo!redmitanzania.com
Na kuhusu Poco it's cheap brand, X7 pro haina plastic frame? Kama Una ujuzi hata kidogo wa Electronics Dimensity 8400 inatumia watts za kutosha Tu around 15W unaspread vipi hio heat itoke nje na plastic? Inabidi ibaki ndani na mwisho wa siku inaumiza motherboard.
Pia motherboard issue ipo Poco X series kama zote,
Hii Poco X6 Pro
View: https://www.reddit.com/r/PocoX6Pro/comments/1rx2a10/x6_pro_heating_constantly_when_under_moderate
Jamaa kaelezea vizuri Tu hapo, reason? Niliokuambia juu, simu hazina cooling, hakuna path za joto kutoka, too many plastic kwa SOC zenye Nguvu siku zote ni disaster, mara Mia simu ipate joto Kali kwenye frame Ila metal ipo exposed nje na inajipoza kuliko plastic inakaa ndani kwa ndani.
Kuhusu plastic kusurvive drop test I think huelewi maana ya metal frame, simu inaweza kuwa ya plastic na bado ikawa na metal frame, frame inakua Kwa ndani mfano wake ni kama nondo kwenye ujenzi wa Ghorofa, Poco Hadi ndani zina plastic.
Na green line issues yes ilikua ya Samsung, na matengezo yalikua bure hata kama ipo nje ya warranty, as long as simu ulinunua mpya si refurb. Can you say same to Poco?
Kuhusu pc games haupo informed aisee, Exynos yoyote inayotumia Xclipse GPU (Rdna 2 mpaka 4) ina Nguvu kushinda your average pc, humo utacheza GTA V, far cry kama zote, Witcher 3, pes, FIFA Hadi 23 etc inapitwa na gaming pc ila ina Nguvu kushinda cheap pc
Just few years back nilikua naitwa Xiaomi fanboy humu jukwaani kama wewe ni member wa siku nyingi humu era za kuanzia Xiaomi redmi note 4 Hadi 10 utakua umeshuhudia hilo. kuanzia 11 hadi sasa Xiaomi Hana soul tena, Ile aura yake ya kuzalisha simu nzuri kwa bei nzuri haipo tena. It's a fact ambayo wengi wenu bado hamjaelewa, tunaishi age ambayo simu za Samsung zinauzwa bei rahisi kuliko za kichina at same category huku zikiwa na superior features na warranty. So endelea kuwa na opinion yako Ila Mimi sio fan wa kampuni yoyote Kati ya hizo naelezea Tu kutokana na uelewa wangu.Hapa nadhani tunatafutiana mawazo chief. This debate won't go anywhere
Nakumbuka nilikuwa nikisoma comments zako kuhusu Samsung nikawa najilazimisha kuamini Samsung ndio best phones, ila everytime nikiangalia reviews mbalimbali na comparisons sioni kama Samsung zinakaribia anywhere near Chinese phones, nadhani unazihype sana hizo Samsung
NIkiendelea kubishana na wewe najua hautaacha hadi kesho asubuhi kuprove kuwa Samsung ni nzuri kuliko Chinese phones
Ila based on my research I just realized it's the other way around
Sema mimi huwa nafuatilia simu, ila binafsi hata midrange au flagship killers zinatosha kwa matumizi yangu, so nina muda mrefu sana nafuatilia devices tu, bila kuangalia bei zake wala masokoJust few years back nilikua naitwa Xiaomi fanboy humu jukwaani kama wewe ni member wa siku nyingi humu era za kuanzia Xiaomi redmi note 4 Hadi 10 utakua umeshuhudia hilo. kuanzia 11 hadi sasa Xiaomi Hana soul tena, Ile aura yake ya kuzalisha simu nzuri kwa bei nzuri haipo tena. It's a fact ambayo wengi wenu bado hamjaelewa, tunaishi age ambayo simu za Samsung zinauzwa bei rahisi kuliko za kichina at same category huku zikiwa na superior features na warranty. So endelea kuwa na opinion yako Ila Mimi sio fan wa kampuni yoyote Kati ya hizo naelezea Tu kutokana na uelewa wangu.
Tatizo beiView attachment 3582355
Kama Kuna simu ambayo kampuni ya Samsung bado inawanyima usingizi kwa mwaka 2026 basi Vivo X300 Ultra Toka China.
Kampuni ya vivo imeachia simu Bora nzuri kwenye kila Eneo kwa mwaka 2026, ambayo ni VIVO X300 Ultra, kuanzia upande wa Kamera ni nzuri mno Yani nzuri Balaa inatoa picha Kali Sana.
View attachment 3582358View attachment 3582359
Upande wa video inatoa video zenye ubora bila hata kuhitaji usaidizi wowote Toka vifaa vingine vya Kamera, Yenyewe tu video ukichukua inatoa kitu chenye ubora ni nzuri kwa wale wazee photographer.
Betri lake ni balaa 6,600mah ikiwa na 100W chaji ikiwa na Teknolojia Ya ZEISS camera sensor yenye kutoa picha nzuri kuendana na Mazingira.
View attachment 3582360View attachment 3582361
Ila zote zinatumia processor za Snapdragon 8 Elite / Gen 5 Processor nzuri kwenye Games uhitaji kuwa na barafu kupooza simu yako ๐.
View attachment 3582362View attachment 3582363
Unasemaje bingwa nani Samsung au Vivo kwenye Kamera ?
Features nyingi hazihitajikiHii Desktop Mode sasahivi simu nyingi zinazo hata za Kichina. Samsung DeX might be better lakini Desktop Mode ya simu nyingine tayari zinafanya basic tasks just fine kwa kiasi kikubwa
Pia kampuni kama Xiaomi imeongeza feature ya Xiaomi Hyperconnectivity, unaconnect na devices nyingi sana hadi iPhones pia, kwa hiyo kushare files ni easier than other regular phones
View attachment 3582671
Feature kama Horizontal Lock ya kwenye S26 Ultra watu wanaipigia kelele sikuhizi ila vivo walikuwa nayo since 2019 I think
Nakumbuka wakati nasoma review ya Xiaomi 17 Ultra gsmarena kwenye verdict walikosa simu inayokaribia 17 Ultra out of China. The closest one ilikuwa vivo X300 Ultra ambayo nayo ni ya China
Hii Samsung other than few places ambako wapo best, haikuonekana kuleta real competition kwa Xiaomi 17 Ultra insane hardware capabilities
Wakaishia tu kuandika Xiaomi 17 Ultra is more Ultra than S26 Ultra
Pia USB Type C 3.2 Gen 2, haipo limited kwa Samsung, Xiaomi 17 Ultra ni Chinese phone na inatumia the same USB Type C 3.2 Gen 2, inasupport features kama Displayport, OTG everything
Zamani Chinese phones zilikuwa vyema kwenye midrange sasahivi hadi kwa flagships simu za Kichina zipo mbali sana. They keep producing best midrange phones na sasa wanatengeneza untouchable flagships. Sioni hata kama Samsung na Apple wanawafikia Wachina, basi tu wamebaki kuwa giants, wana soko kubwa, high global dominance na strong legacy kuliko Chinese phones
View attachment 3582674
vivo sasahivi wanatengeneza simu za 10,000mAhFeatures nyingi hazihitajiki
Kwa kifupi teknolojia ya smartphone ipo kwenye peak. Wanaongeza Features nyingi hata unayo wala hutaona tofauti. Labda walete simu zinazokaa na chaji mwezi mzima
Sio lazima kununua simu za ChinaKwa jinsi mchina anavyotengeneza bidhaa feki huku Africa itanichukua muda mrefu sana kupenda simu zao zenye camera km plate za jiko,
Greenlines za samsung zinakera lakini ndo sitoki hapo, namsubiri kwa hamu sana baby wangu s26 ultra,
Kero yq samsung ni hizo mistari inaniboa mno, natumia flip na imeshachora mistari imebidi nihamie s series sasa,Sio lazima kununua simu za China
Mfano mimi napenda sana simu za China for hardware naona wako mbali sana
Ila ikitokea kununua simu kwa upande wangu, nitanunua Samsung kwa sababu napenda One UI pia kwa matumizi yangu hata midrange au flagship za Samsung zinanitosha. Zina matumizi makubwa na hardware za Kichina hata kama ni strong
Au hata nitanunua iPhone out of curiosity, niwahi kuonja iOS nione kama ni nzuri
Hapa penyewe natumia Google Pixel 7A
Oppo ni Mchina piaKero yq samsung ni hizo mistari inaniboa mno, natumia flip na imeshachora mistari imebidi nihamie s series sasa,
Nilitamani oppo lakini update yake ni ya muda mfupi 2-3 years, xaomi ni mchina na hizo camera, vivo ndo kabisaa sijamuelewa, Google imekaa kiume lakini malalamiko yameanza tangu wapokee updates mpya,,,, iphone sina mzuka nayo
Watatuua
Mistari inatoka kwa Samsung ila imeathiri simu zote sababu Samsung ndio anauza display za flagship, OnePlus, Oppo, Sony, Apple etc zote zina mistari. Cha muhimu epuka Tu simu zilizotengenezwa baina ya 2020-2022, hizi mpya s26, 25, 24 etc hazina tatizo Hilo ama kama lipo ni kwa uchache Sana.Kero yq samsung ni hizo mistari inaniboa mno, natumia flip na imeshachora mistari imebidi nihamie s series sasa,
Nilitamani oppo lakini update yake ni ya muda mfupi 2-3 years, xaomi ni mchina na hizo camera, vivo ndo kabisaa sijamuelewa, Google imekaa kiume lakini malalamiko yameanza tangu wapokee updates mpya,,,, iphone sina mzuka nayo
Watatuua
Nipo namsubiri s26, huyo akichora mstari tu basi rasmi itabidi nihamie iphone, hii nayotumia ni ya 2024 na inayo mistariMistari inatoka kwa Samsung ila imeathiri simu zote sababu Samsung ndio anauza display za flagship, OnePlus, Oppo, Sony, Apple etc zote zina mistari. Cha muhimu epuka Tu simu zilizotengenezwa baina ya 2020-2022, hizi mpya s26, 25, 24 etc hazina tatizo Hilo ama kama lipo ni kwa uchache Sana.
S24?Nipo namsubiri s26, huyo akichora mstari tu basi rasmi itabidi nihamie iphone, hii nayotumia ni ya 2024 na inayo mistari
Tema mate chini...Simu za Kichina sikuhizi kwenye quality meaning
Etc
- Performance to price ratio
- Camera
- Battery
- Speakers
Zimeziacha mbali tu simu za Samsung na Apple. Tatizo soko ndio hawana na watu wengi hawazijui
Nimetumia clean android kwenye simu ya Pixel na Sharp Aquos ila sikuzipenda kabisa, ikabidi nirudi Samsung.Sio lazima kununua simu za China
Mfano mimi napenda sana simu za China for hardware naona wako mbali sana
Ila ikitokea kununua simu kwa upande wangu, nitanunua Samsung kwa sababu napenda One UI pia kwa matumizi yangu hata midrange au flagship za Samsung zinanitosha. Sina matumizi makubwa na hardware za Kichina hata kama ni strong
Au hata nitanunua iPhone out of curiosity, niwahi kuonja iOS nione kama ni nzuri
Hapa penyewe natumia Google Pixel 7A