๐—ฉ๐—œ๐—ฉ๐—ข ๐—ซ๐Ÿฏ๐Ÿฌ๐Ÿฌ ๐˜‚๐—น๐˜๐—ฟ๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ผ๐—บ๐—ป๐˜†๐—ถ๐—บ๐—ฎ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐˜‡๐—ถ ๐—ฆ๐—”๐— ๐—ฆ๐—จ๐—ก๐—š ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฒ

Tatizo lako mkuu unatumia Google Sana bila uhalisia, mtafute mdau wowote wa simu akupe mkeka wa Samsung Tanzania ama Tumia Avechi, mikeka niliyonayo bei hazitofautiani Sana na Avechi.

Hii link Avechi

-Galaxy s26 105K ksh equivalent to Euro 693 na version ya 512GB inaongezeka ksh 5k Tu.

-s26 ultra 512GB ni 155K ksh ambayo ni Sawa na Euro 1024, 1TB ni 196K Sawa na Euro 1295

So si kweli hizo bei za Gsmarena ni deals, bei za kwetu ni rahisi Sana compare na wanazoweka Gsmarena, hata kwa Ulaya ukitaka deals nitakuwekea links zake.

Na hii si flagship Tu, angalia bei za Redmi Tigoshop ama official page Yao. .Redmi 15C inapitwa Hadi na A07, uki compare na A16 ambayo bei ni Sawa mtaani inapitwa kila idara.
Ukija Redmi 15 plain wameizindua official 575,000 huku, pro plus inauzwa 1.1M, kwa bei hio unapata S24/25FE ambazo ni almost flagship level.

Hizi official bei za Redmi

Na kuhusu Poco it's cheap brand, X7 pro haina plastic frame? Kama Una ujuzi hata kidogo wa Electronics Dimensity 8400 inatumia watts za kutosha Tu around 15W unaspread vipi hio heat itoke nje na plastic? Inabidi ibaki ndani na mwisho wa siku inaumiza motherboard.

Pia motherboard issue ipo Poco X series kama zote,

Hii Poco X6 Pro

View: https://www.reddit.com/r/PocoX6Pro/comments/1rx2a10/x6_pro_heating_constantly_when_under_moderate
Jamaa kaelezea vizuri Tu hapo, reason? Niliokuambia juu, simu hazina cooling, hakuna path za joto kutoka, too many plastic kwa SOC zenye Nguvu siku zote ni disaster, mara Mia simu ipate joto Kali kwenye frame Ila metal ipo exposed nje na inajipoza kuliko plastic inakaa ndani kwa ndani.

Kuhusu plastic kusurvive drop test I think huelewi maana ya metal frame, simu inaweza kuwa ya plastic na bado ikawa na metal frame, frame inakua Kwa ndani mfano wake ni kama nondo kwenye ujenzi wa Ghorofa, Poco Hadi ndani zina plastic.

Na green line issues yes ilikua ya Samsung, na matengezo yalikua bure hata kama ipo nje ya warranty, as long as simu ulinunua mpya si refurb. Can you say same to Poco?

Kuhusu pc games haupo informed aisee, Exynos yoyote inayotumia Xclipse GPU (Rdna 2 mpaka 4) ina Nguvu kushinda your average pc, humo utacheza GTA V, far cry kama zote, Witcher 3, pes, FIFA Hadi 23 etc inapitwa na gaming pc ila ina Nguvu kushinda cheap pc
 
Hapa nadhani tunatafutiana mawazo chief. This debate won't go anywhere
Nakumbuka nilikuwa nikisoma comments zako kuhusu Samsung nikawa najilazimisha kuamini Samsung ndio best phones, ila everytime nikiangalia reviews mbalimbali na comparisons sioni kama Samsung zinakaribia anywhere near Chinese phones, nadhani unazihype sana hizo Samsung
NIkiendelea kubishana na wewe najua hautaacha hadi kesho asubuhi kuprove kuwa Samsung ni nzuri kuliko Chinese phones
Ila based on my research I just realized it's the other way around
 
Just few years back nilikua naitwa Xiaomi fanboy humu jukwaani kama wewe ni member wa siku nyingi humu era za kuanzia Xiaomi redmi note 4 Hadi 10 utakua umeshuhudia hilo. kuanzia 11 hadi sasa Xiaomi Hana soul tena, Ile aura yake ya kuzalisha simu nzuri kwa bei nzuri haipo tena. It's a fact ambayo wengi wenu bado hamjaelewa, tunaishi age ambayo simu za Samsung zinauzwa bei rahisi kuliko za kichina at same category huku zikiwa na superior features na warranty. So endelea kuwa na opinion yako Ila Mimi sio fan wa kampuni yoyote Kati ya hizo naelezea Tu kutokana na uelewa wangu.
 
Sema mimi huwa nafuatilia simu, ila binafsi hata midrange au flagship killers zinatosha kwa matumizi yangu, so nina muda mrefu sana nafuatilia devices tu, bila kuangalia bei zake wala masoko
Huwa naangalia simu zipi zinapush the bars too far, so kama mauzo ya simu za Kichina yanashuka kwa sababu ya horrible pricing it's okay ila their phones are just too good to be true
 
Tatizo bei
 
Features nyingi hazihitajiki
Kwa kifupi teknolojia ya smartphone ipo kwenye peak. Wanaongeza Features nyingi hata unayo wala hutaona tofauti. Labda walete simu zinazokaa na chaji mwezi mzima
 
Features nyingi hazihitajiki
Kwa kifupi teknolojia ya smartphone ipo kwenye peak. Wanaongeza Features nyingi hata unayo wala hutaona tofauti. Labda walete simu zinazokaa na chaji mwezi mzima
vivo sasahivi wanatengeneza simu za 10,000mAh
Tumeona simu za vivo za 5000mAh zikikaa na chaji kwa muda mrefu sana, imagine hizi za sasahivi zenye 10,000mAh
10,000mAh ni level ya powerbank kabisa, hii ni kubwa kuliko hata tablets nyingi tu
Mfano ni hii midrange "vivo Y600 Pro" ina 10,200 mAh na uzito wake ni just 223 grams, nyepesi kuliko simu nyingi tu za 5000mAh
 
Kwa jinsi mchina anavyotengeneza bidhaa feki huku Africa itanichukua muda mrefu sana kupenda simu zao zenye camera km plate za jiko,

Greenlines za samsung zinakera lakini ndo sitoki hapo, namsubiri kwa hamu sana baby wangu s26 ultra,
 
Kwa jinsi mchina anavyotengeneza bidhaa feki huku Africa itanichukua muda mrefu sana kupenda simu zao zenye camera km plate za jiko,

Greenlines za samsung zinakera lakini ndo sitoki hapo, namsubiri kwa hamu sana baby wangu s26 ultra,
Sio lazima kununua simu za China
Mfano mimi napenda sana simu za China for hardware naona wako mbali sana
Ila ikitokea kununua simu kwa upande wangu, nitanunua Samsung kwa sababu napenda One UI pia kwa matumizi yangu hata midrange au flagship za Samsung zinanitosha. Sina matumizi makubwa na hardware za Kichina hata kama ni strong
Au hata nitanunua iPhone out of curiosity, niwahi kuonja iOS nione kama ni nzuri

Hapa penyewe natumia Google Pixel 7A
 
Kero yq samsung ni hizo mistari inaniboa mno, natumia flip na imeshachora mistari imebidi nihamie s series sasa,

Nilitamani oppo lakini update yake ni ya muda mfupi 2-3 years, xaomi ni mchina na hizo camera, vivo ndo kabisaa sijamuelewa, Google imekaa kiume lakini malalamiko yameanza tangu wapokee updates mpya,,,, iphone sina mzuka nayo

Watatuua
 
Oppo ni Mchina pia
Google, leo tu nimetoka kupokea security update nyingine
Nipo up to date. No problems so far. Hapa nasubiri siku waachie Android 17
 
Mistari inatoka kwa Samsung ila imeathiri simu zote sababu Samsung ndio anauza display za flagship, OnePlus, Oppo, Sony, Apple etc zote zina mistari. Cha muhimu epuka Tu simu zilizotengenezwa baina ya 2020-2022, hizi mpya s26, 25, 24 etc hazina tatizo Hilo ama kama lipo ni kwa uchache Sana.
 
Nipo namsubiri s26, huyo akichora mstari tu basi rasmi itabidi nihamie iphone, hii nayotumia ni ya 2024 na inayo mistari
 
Nimetumia clean android kwenye simu ya Pixel na Sharp Aquos ila sikuzipenda kabisa, ikabidi nirudi Samsung.

ONE UI ya Samsung ni kali saana, ukijumlisha na display ndo kabisa. Samsung iko mbali sana kwenye OS yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ