Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Naunga mkono hoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja
Izo nyota ziko wapiIna vinyota nyota
Huu ujinga mnaolisha watu ni yale yale mnasema eti kiswahili ni lugha ya kumi duniani kwa kuongelewa na watu wengi.
AnganiIzo nyota ziko wapi
Good boy umejitambua sasaAngani
Upuuzi huu wa ccmNa yeye pia mh. Inaonekana ni kivutio cha watalii.View attachment 1307772
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili hapa I can give you a credible source. Kiswahili ni lugha ya saba kwa kuzungumzwa lea wingi na kukua. Majuzi nilikuwa Quebec, nikakutana na waCanada wanaongea kiswahili, utafikiri wamewahi fika Tanzania.
Acha utoto dogo. Kiswahili hakuzungumzwi wala na watu 90m hapa duniani. Nyie ndio mnamuingiza mkuu chaka anaishia kupotosha umma usiojiuliza kitu.
Tanzania, Kenya, kwa uchache Uganda, mashariki mwa DRC, kaskazini mwa Msumbiji, kaskazini mwa Malawi yaani mpaka Mzuzu, pia Nakonde Zambia wanazidi kwa mbali sana idadi hiyo.
Pia kijana, mimi siyo dogo. Naweza kuwa baba yako. Mimi ni miongoni mwa manusra wa ukimwi wa miaka ya 80 mishoni. Usione nyani kazeeka, ujue kakwepa mishale mingi.
Tunakushulu wewe kwa maoni yako hayo.Tunaishulu selikali ya awamu ya tano kwa kutuletea vivutio vya utaliii
Sent using Jamii Forums mobile app
Narudia tena we dogo, kutaja maeneo mengi hakumaanishi kuwa idadi ya wanaoongea ni kubwa. Kiswahili kinazungumzwa zaidi Tanzania, tufanye ni wote 55m. Kenya ndio inayofuatia kwa kuzungumza huko hawavuki 10m wanaozungumza kiswahili, tena wengi hawazungumzi kiswahili fasaha, hiyo ni 65m. Uganda hawavuki 1m, hizo nchi nyingine zote ulizotaja ukichanganya wote kwa pamoja hawavuki 3m, tena kwa maeneo ya mipakani kuizunguka Tanzania. Hapo 70m hawavuki, katika mazingira hayo inakuwaje lugha ya 7 hapa duniani? Uza ubongo huo unakaa nao kwa hasara dogo.
qz.com
Narudia tena we dogo, kutaja maeneo mengi hakumaanishi kuwa idadi ya wanaoongea ni kubwa. Kiswahili kinazungumzwa zaidi Tanzania, tufanye ni wote 55m. Kenya ndio inayofuatia kwa kuzungumza huko hawavuki 10m wanaozungumza kiswahili, tena wengi hawazungumzi kiswahili fasaha, hiyo ni 65m. Uganda hawavuki 1m, hizo nchi nyingine zote ulizotaja ukichanganya wote kwa pamoja hawavuki 3m, tena kwa maeneo ya mipakani kuizunguka Tanzania. Hapo 70m hawavuki, katika mazingira hayo inakuwaje lugha ya 7 hapa duniani? Uza ubongo huo unakaa nao kwa hasara dogo.
theconversation.com
![]()
African languages are the fastest growing in the United States
Swahili, Yoruba, Twi, Igbo, Amharic and Somali are among the fastest growing as African migration numbers riseqz.com
Chukua idadi ya waAfrika wote wa Marekani, halafu zidisha kwa 22%.
Look how other Afrikan fellow indorse the Kiswahili. That number of 150 may be will be reached in our generation.
![]()
Why it’s good news that Swahili is coming to South African schools
Kiswahili will be easy for South Africans to learn compared to foreign languages from outside Africa.theconversation.com
Ni hivi, ww una ujinga wa kipaji.
These are discourses from scholars, not personal feeling. If you see the comments, some addimit that the lingua is well established and diversified compared to other Afrika's vernaculars. Also they feel the local contents as there are a lot of words that come from bantu languages.
Watalii wengi ni mabeberu na mashoga wakiwemo, sasa mbona mnaji changanya au kuwa na vivutio ni moja na kutembelewa kingine.Baada ya kchombo kikubwa cha habari duniani CNN kulitaja eneo la ngorongoro kuwa eneo namba moja ambalo kila mtalii duniani angetamani kuliona afrika kampuni ya fasaribookings.com ineitaja nchi yetu ya Tanzania kuwa ndio nchi yenye vivutio vingi duniani .
Tunaipongeza serkali ya awamu ya tano kwa kuzidi kupiga hatua katika kujitangaza kuvutia watalii
USSRView attachment 1307769
Sent using Jamii Forums mobile app