Viwanda hivi vilikufa, vingine ni mali ya wawekezaji wasanii Marais muliopita tuwaambie nini?

Kama viwanda vyetu vilitoa ubora wa juu, vilistahili kulindwa kwa kuweka viwango vyetu. Hii ingeondoa bidhaa duni zenye bei nafuu kuingia nchini.
 
Hivi tunavyoambiwa vimejengwa/vinavyojengwa na vitakavyojengwa na vya kuzalisha bidhaa za aina gani ambayo hatuagizi?Ama ni vya kuzalisha ujinga?Maana tumeimbiwa sana Tanzania ya viwanda,kunani?Msituambie hiyo Sera imepitwa na wakati kabla ya kutekelzwa.
 
Kodi sio shida, maana huo sio mzigo wa investor bali wa consumer, mzigo upo ktk Power au Nishati, hicho kitu sikia kwa watu lakini tulio ktk manufacturing Industries ni balaa, shida ya pili ni soko, huwezi wekeza multi milion Dola ukitegemea kuuza ndani hali ya kuwa majirani na sisi wenyewe tunasaini mikataba ya kuwa mikoa ya Uchina, mwisho Tanzania kama nchi haina dira, bali inategemea utash wa mtu na uwezo wa kutoa maamuzi.kwa uchache tu mwisho Taifa halina sera ya kuwekeza ktk bidhaa za kuongezewa thamani kama kubangua korosho, kusafisha makinikia, kukata Tanzanite, kuchambua Pamba, nk. Nyongeza, ili uwe nchi ya viwanda ni lazima uwe na sido imara, kama ilivyo India, na hapa Africa mashariki angalia Kenya.
 
Hakuna anachojua. Mpuuzeni atakuwa wa hivyo hivyo milele. Uwendawazimu humpata mtu au kwa kuugua magonjwa ya akili au kuupenda na kuukumbatia upumbavu.
hahah eti atakua wa hivyo hivyo milele mjinga kabisa wewe!!!..hebu taja viwanda vilivyojengwa na serikali awamu ya Nyerere?!..au umezoea kuzibuliwa mtaro wako mchafu
 
You nailed it
 
Hopeless kabisa. Una elimu ya kiwango gani? Maana wewe ni mbumbumbu hasa.

Karibia Viwanda hivyo vyote vilijengwa na serikali awamu ya kwanza.
Wewe na family yako mna shida kubwa mno Kama hujui history nzuri ya Nchi hii utaendelea kulala sebuleni kwa shemeji yako mpaka kifo
 
Tuolozeshee viwanda hivyo
 
Wewe ni kichaa au hujaelemika?

Hakuna kiwanda hata kimoja katika hivyo kilichojengwa na wakoloni. Muwe mnasoma na kuelewa. Hii elimu ya kujua tu kusoma na kuandika inakufanya kuwa mjinga mwenye uwezo wa kusoma na kuandika.
Kichaa na ambae hajaelimika ni huyo aliyekuweka miezi 9 na ukabakiwa namna hii
 
Sorry mkuu nimeku-quote kwa bahati mbaya nilikuwa namuuliza member mwingine humu aliyesema Nyerere alipora viwanda hakujenga viwanda.
 
ELIMU YA MALEBO



Leo tuangalie Malebo mawili ya WADAIWA SUGU na VYETI FEKI



Kama jina lako lipo hapa nawe linakuhusu kwa asilimi 200 perfect maana wengine wanazuia wengine wanaendelea kupaka rangi ili yangae



VYETI FEKI

Orodha ya Watumishi Wenye Vyeti Feki

Mie nipo ni kama LEBO INANIHUSU kushangilia raha lakini tutaenda kwa WAGANGA WA KIENYEJI huwaga wanasema MHAYA/MPOLE/MYATULU HUYOOO USISAHAU MWANAJESHI (WALE WA SPECIALIZATION ZA MAJINA MPOO)



WADAIWA SUGU

http://zanzibar24.co.tz/wp-content/uploads/2016/11/ORODHA_YA_WASUGU_1.pdf



KWA LEBO HIZI NATHANI KUNA MAISHA YA UGAIDI WA KUSAFISHA MAJINA kila la kheri wale wanaopenda kuwa perfect asilimia 100



NI BORA ATAKAYEKAMATWA NA KUELEWA KWA LAZIM A NITAMJENGEA GHOROFA BAHARINI ILI ALE MAISHA KWA AJILI YA MSWALA AU MKEKA WA UONGOZI TANZANIA






WAONGO NA WADANGANYIFU
 
ELIMU YA MALEBO



Leo tuangalie Malebo mawili ya WADAIWA SUGU na VYETI FEKI



Kama jina lako lipo hapa nawe linakuhusu kwa asilimi 200 perfect maana wengine wanazuia wengine wanaendelea kupaka rangi ili yangae



VYETI FEKI

Orodha ya Watumishi Wenye Vyeti Feki

Mie nipo ni kama LEBO INANIHUSU kushangilia raha lakini tutaenda kwa WAGANGA WA KIENYEJI huwaga wanasema MHAYA/MPOLE/MYATULU HUYOOO USISAHAU MWANAJESHI (WALE WA SPECIALIZATION ZA MAJINA MPOO)



WADAIWA SUGU

http://zanzibar24.co.tz/wp-content/uploads/2016/11/ORODHA_YA_WASUGU_1.pdf



KWA LEBO HIZI NATHANI KUNA MAISHA YA UGAIDI WA KUSAFISHA MAJINA kila la kheri wale wanaopenda kuwa perfect asilimia 100



NI BORA ATAKAYEKAMATWA NA KUELEWA KWA LAZIM A NITAMJENGEA GHOROFA BAHARINI ILI ALE MAISHA KWA AJILI YA MSWALA AU MKEKA WA UONGOZI TANZANIA






WAONGO NA WADANGANYIFU
 
Siamini kama Nyerere alirithi viwanda, embu taja hiyo list ya viwanda alivyorithi kwa wazungu. Ina maana hakujenga hata viwanda kadhaa vikubwa miaka yote 24?
Viwanda vingi ya vilivyotajwa vilijengwa baada ya Uhuru.
Viwanda kama SPM Mgololo (karatasi), Mbeya cement, Mbeya textile, tanelec, Matsushita (national Panasonic), kilombelo sugar, Tanga cement, Bora shoes, UFI, KIZAKU, Tanganyika Packers japo wajenzi walikuwa wàzungu lakini ni kwa initiatives za Julius Nyerere
 
Agiza utajilipia siku ukinijua nakulipia mimi.
 
Welevu ndio huesma kweli. Asante kwa taarifa mkuu. Watu wanabwabwaja eti Mchonga alijenga viwanda uliza vilianza lini hawajui
 
Kuna kiwanda cha Mara Milk kikiuza maziwa fresh, mgando.
Kwa East Africa Mara Milk ni kiwanda cha kwanza kuzalisha maziwa ya unga na maziwa ya UHT hapo Utegi.

Kwa sasa mgololo kinachakata karatasi za khaki, machine za karatasi nyeupe zishang'olewa na "indians investors" kwenda Kenya.

Kuna kiwanda cha Nyama Shinyanga; Iringa kulikuwa na kiwanda cha maziwa walau aliepewa anakiendesha.

Mfumo wa ujamaa haukuwa na shida, maana mpaka sasa nchi kama Israel wanatumia ujamaa wao kama Kibbutz na Moshav kuendesha uchumi, na bado ujamaa wao unafanya vizuri sana.

Hapa tusijilaumu sana kwa yalioyopita; hapa ni namna gani tunajikita kwenye kuwekeza kwa sasa.

Mathalani, kama tunahitaji kuwekeza kwenye viwanda, tuna mahitaji gani ambayo nchi (wananchi) wanayo ili uzalishaji ukifanyika ndani soko lake lipo.

Tuchukulie sukari, kila mwaka tuna-import industrial sugar na sukari kwa matumizi ya nyumbani takribani tani 50,000.
Hapa serikali ingeweza kutoa bank guarantee au mkopo wa uwekezaji kutoka TIB ili tuwekeze kwenye uzalishaji wa miwa au sugar beet na machineries za processing.

Hapa tungezalisha ajira na mzunguko wa fedha ndani na tax base ya TRA.

Kwenye pamba walau tuzalishe mashuka ya hospitals kwa ajili ya MSD, then vitambaa say vya uniforms za wanafunzi hapo tunauza kwa soko la ndani.
Hata chupi za kiume na za kike, soksi/stockings za watoto wa shule nazo zingetengenezwa na vocational graduates. Hii ya kuagiza leso china wakati pamba ipo;

Ngozi tunachakata ndani kwa ajili ya viatu na mikanda kwa wanafunzi. Ni aibu ku-import viatu wakati tuna ngozi za ng'ombe humu ndani.

Then VETA wazalishe vitu kama fagio za majumbani, moppers, toothpick, rake..Ni aibu tunanunua mifagio na moppers China.

In short Waziri Bashungwa nadhani hana DNA ya innovation/creativity ili ku-push the bounds to make things happen.

Prof. Ndalichako nadhani anatakiwa aje na mfumo mpya kabisa wa elimu au wampe naibu waziri mwingine na katibu Mkuu ili wam-suppliment kwa kuifanya elimu yetu iwe jumuishi kwenye kutatua matatizo yaliyopo kwa kuyageuza kuwa fursa za kutengeneza hela na ajira za ndani.

Watu wenye vision tupo, sio lazima sote tuweke kwenye ubunge na uwaziri, tunaomba collaboration na Public setor ili Tanzania ikishinda sote tushinde.

Kwenye ulimwengu wa sasa Collection ya certificates pekee sio guarantee ya kufanya vema kwenye jambo, japo hatubezi uwepo wa vyeti vingi kwa wasomi.

Ruge hakuwa muimbaji wala mpiga muziki, ila alikuwa na DNA ya ubunifu nini wanamuziki wafanye/waimbe ili kutumbuiza na kufanya biashara, mwisho wa siku kuna namna music/entertainment industry na promotions zilikuwa wakati akiwepo.

Kuna lots to be done kwenye kujenga uchumi wa ushindani sokoni kwa sasa. Ujenzi wa viwanda, mkono wa serikali hasa kwenye ku-guarantee its inevitable ili tukue kwa haraka na kuzalisha ajira.
Manufaa ya serikali iki-gurantee ni kodi za PAYE,
18% VAT kwenye manunuzi ya bidhaa na huduma zinazofanywa na viwanda,
30% corporate tax
18% indirect tax za manunuzi ya bidhaa na huduma toka kwa wafanyakazi wa new factories waliopo na watakaoingia kwenye ajira
20% za mishahara ikiwa 10% ya muajiriwa na 10% muajiri kuingia kwenye mifuko ya pensheni.
Private ikikuwa hata service sector inakuwa kwa walimu, madaktari, polisi, wanajeshi, maafisa ugani, revenue authority staff, watu wa mazingira, TBS staff ili kukidhi kuihudumia private sector inapokuwa.

Kama wasaidizi wa "mzee baba" ambao nimewagusa pale juu hawana jicho hili, iko haja kutafutwa kwa head hunt wetu wenye such a DNA
 
Zoezi la ubinafisishaji ndiyo lililofilisi viwanda na mashirika yetu kufa kifo cha mende.

Viongozi wa wakati huo waliosimamia zoezi hili kama bado wapo hai au hata kama wameshakufa basi huko huko waliko wajitafakari kama bado wanahitaji heshima toka kwa Watanzania.
 
Vijana panueni vichwa vyenu! Zama za kusoma kwa ajili ya kuajiriwa viwandani zilishapita! Hizo ni outdated thinking!
tumka akili viwanda ndo uhuru wenyew , huez kuwa huru kama unategema bidhaa nyingi toka nje , mf leo china akipiga ban bidhaa kuja Tz itabid tuwe 3rd consumer ambapo bei zitapanda hata bidhaa kuadimika so unakuwa uhuru wako upo mikononi mwa China
 
msifie Nyerere acha wivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…