Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,039
- 2,840
Kwa kipi au lipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kipi au lipi?
Kama viwanda vyetu vilitoa ubora wa juu, vilistahili kulindwa kwa kuweka viwango vyetu. Hii ingeondoa bidhaa duni zenye bei nafuu kuingia nchini.Kuna sehemu unatakiwa kubadilisha:
Kanga iliyotengenezwa Tanzania ilikuwa na ubora wa hali juu kuliko ya China na India na bei yake ilikuwa juu zaidi. Watu walilazimika kununua vitu vya China na India kwa sababu ya umaskini (walifuata za bei ndogo japo na ubora ulikuwa wa Chini).
Tairi za General tyre zilikuwa za ubora wa hali ya juu kuliko za China, India na Japan. Management ya kisiasa iliua kiwanda kutokana na uelewa mdogo wa wasimamizi.
Hivi tunavyoambiwa vimejengwa/vinavyojengwa na vitakavyojengwa na vya kuzalisha bidhaa za aina gani ambayo hatuagizi?Ama ni vya kuzalisha ujinga?Maana tumeimbiwa sana Tanzania ya viwanda,kunani?Msituambie hiyo Sera imepitwa na wakati kabla ya kutekelzwa.Raisi Nyerere hakujenga viwanda vyovyote alivirisi kutoka kwa wazungu na vilikuwa vinaendelea kusimamiwa na wazungu, mpaka wazungu walivyoona maslahi yao inapungua wakasepa miaka ya 1970-1978. Ndio walivyopata wabongo Ndio kuanza kuiba mashine na mitambo. Ishu za viwanda ni sensitive issue na sio bongo tuu, waafrika hatuna asili ya kuendesha viwanda vyovyote tusikae kudanganyana ujinga apa
hahah eti atakua wa hivyo hivyo milele mjinga kabisa wewe!!!..hebu taja viwanda vilivyojengwa na serikali awamu ya Nyerere?!..au umezoea kuzibuliwa mtaro wako mchafuHakuna anachojua. Mpuuzeni atakuwa wa hivyo hivyo milele. Uwendawazimu humpata mtu au kwa kuugua magonjwa ya akili au kuupenda na kuukumbatia upumbavu.
You nailed itMfumo wa uchumi wa kimashariki (Kijamaa) kupitia Azimio la Arusha uliopora viwanda na Mali nyingi za matajiri na serikali kujimilikisha na kuviendesha.
Bahati mbaya viliendeshwa kwa kupangiwa bei na serikali bila kujali gharama za uzalishaji (Production cost) Vingi vilifeli mikononi mwa Nyerere mwenyewe! Na ilibidi vipewe ruzuku toka kwenye kodi.
Njaa ya miaka ya mwisho Sabini na Vita ya Uganda na Tz vilifirisi kabisa nchi. Nyerere akaenda kwa mabeberu kuomba mkopo
Walimpa masharti yafuatayo;
i. Kujiondoa serikali kuzalisha,kuagiza na kuingiza bidhaa. Iwe inakusanya Kodi tu.
ii.Kuwepo na soko huria. Bei za bidhaa zitokane na ushindani na mahitaji ya soko. (Serikali ijiondoe kupanga bei)
iii. Ashushe thamani ya shilingi
iv. Kuwepo uchangiaji katika huduma za kijamii baina ya serikali na wananchi ( Cost sharing) ili kuipunguzia mzigo serikali.
vi.Apunguze idadi ya watumishi wa umma na mishahara yao.
vii.Abinafsishe viwanda alivyopora na vile alivyopora.
Nyerere aliyakataa masharti huku akinukuliwa kwamba anayedhani Tz itayakubali masharti hayo ni mwendazimu akiwa ziarani Uingereza (Scotland?). Mwisho alienda Mara ya pili mezani IMF na WB wakasimama kwenye masharti yao.
Nchi ilikuwa taabani na Nyerere ikabidi ang'atuke kulinda msimamo na heshima yake.
Mwinyi akachukua nchi na kutekeleza masharti.
Wewe na family yako mna shida kubwa mno Kama hujui history nzuri ya Nchi hii utaendelea kulala sebuleni kwa shemeji yako mpaka kifoHopeless kabisa. Una elimu ya kiwango gani? Maana wewe ni mbumbumbu hasa.
Karibia Viwanda hivyo vyote vilijengwa na serikali awamu ya kwanza.
Tuolozeshee viwanda hivyoHata kama unamchukia Nyerere kwa sababu zako binafsi unazozijua wewe mwenyewe siyo vyema kusema Nyerere alipora viwanda. Kwa hiyo una maana katika Tanzania yote hii unayoijua wewe (whether ni kijana wa sasa au ni kijana wa zamani) hakuna viwanda vilivyojengwa baada ya Tanganyika kupata uhuru mwaka 1961 na baadae kuwa Tanzania 1964? Hebu taja viwanda vyote vilivyojengwa wakati wa ukoloni (Germany & British colonial rule) na mimi nitakuletea list yote ya viwanda vilivyojengwa baada ya Tanganyika kupata uhuru wake. Speak with data or evidence otherwise ni porojo za mitandaoni tu.
Kichaa na ambae hajaelimika ni huyo aliyekuweka miezi 9 na ukabakiwa namna hiiWewe ni kichaa au hujaelemika?
Hakuna kiwanda hata kimoja katika hivyo kilichojengwa na wakoloni. Muwe mnasoma na kuelewa. Hii elimu ya kujua tu kusoma na kuandika inakufanya kuwa mjinga mwenye uwezo wa kusoma na kuandika.
Sorry mkuu nimeku-quote kwa bahati mbaya nilikuwa namuuliza member mwingine humu aliyesema Nyerere alipora viwanda hakujenga viwanda.Soma vizuri mkuu, sikutaja Nyerere kuwa alipora Mali.
Ni mfumo wa uchumi ambao tuliu-adopt miaka michache baada ya Uhuru. Ujamaa (Socialism) ambao ni nadharia ya kisiasa na kiuchumi ambayo inatete/sisitiza njia za uzalishaji Mali,usambazaji wake na uuzaji/ubadilishanaji wake umilikiwe na jamii ama serikali kwa niaba ya wananchi/jamii nzima.
Ni kinyume na ubepali (Capitalism) tuliokuwa nao kipindi Cha ukoloni na muda mfupi baada ya Uhuru ambao unasisitiza umilikaji Mali binafsi.
Ndicho kilichofanyika, viwanda,Mali,majengo vilichukuliwa/porwa toka watu binafsi na kuwa Mali ya ummaTaifa (Utaifishaji)
N:B angali majengo/nyumba nyingi za NHC zina majina ya walizozijenga vivyo hivyo kwenye viwanda.
Hata serikali ya Nyerere pia ilijenga viwanda. Issue ilikuwa namna ya uendeshaji chini ya mfumo wa kisiasa tuliokuwa nao. Ambao haukutoa nafasi viwanda kuwa endelevu ( Sustainable)
Viwanda vingi ya vilivyotajwa vilijengwa baada ya Uhuru.Siamini kama Nyerere alirithi viwanda, embu taja hiyo list ya viwanda alivyorithi kwa wazungu. Ina maana hakujenga hata viwanda kadhaa vikubwa miaka yote 24?
Agiza utajilipia siku ukinijua nakulipia mimi.Raisi Nyerere hakujenga viwanda vyovyote alivirisi kutoka kwa wazungu na vilikuwa vinaendelea kusimamiwa na wazungu, mpaka wazungu walivyoona maslahi yao inapungua wakasepa miaka ya 1970-1978. Ndio walivyopata wabongo Ndio kuanza kuiba mashine na mitambo. Ishu za viwanda ni sensitive issue na sio bongo tuu, waafrika hatuna asili ya kuendesha viwanda vyovyote tusikae kudanganyana ujinga apa
Welevu ndio huesma kweli. Asante kwa taarifa mkuu. Watu wanabwabwaja eti Mchonga alijenga viwanda uliza vilianza lini hawajuiRaisi Nyerere hakujenga viwanda vyovyote alivirisi kutoka kwa wazungu na vilikuwa vinaendelea kusimamiwa na wazungu, mpaka wazungu walivyoona maslahi yao inapungua wakasepa miaka ya 1970-1978. Ndio walivyopata wabongo Ndio kuanza kuiba mashine na mitambo. Ishu za viwanda ni sensitive issue na sio bongo tuu, waafrika hatuna asili ya kuendesha viwanda vyovyote tusikae kudanganyana ujinga apa
Nyerere alijenga viwanda vingi sana hakutaka kusifiwa wala kujisifu, Uzi unatupa wasaa wa kumkumbuka Ili usifiwe lazima ushindane na mtu.
tumka akili viwanda ndo uhuru wenyew , huez kuwa huru kama unategema bidhaa nyingi toka nje , mf leo china akipiga ban bidhaa kuja Tz itabid tuwe 3rd consumer ambapo bei zitapanda hata bidhaa kuadimika so unakuwa uhuru wako upo mikononi mwa ChinaVijana panueni vichwa vyenu! Zama za kusoma kwa ajili ya kuajiriwa viwandani zilishapita! Hizo ni outdated thinking!
msifie Nyerere acha wivuRaisi Nyerere hakujenga viwanda vyovyote alivirisi kutoka kwa wazungu na vilikuwa vinaendelea kusimamiwa na wazungu, mpaka wazungu walivyoona maslahi yao inapungua wakasepa miaka ya 1970-1978. Ndio walivyopata wabongo Ndio kuanza kuiba mashine na mitambo. Ishu za viwanda ni sensitive issue na sio bongo tuu, waafrika hatuna asili ya kuendesha viwanda vyovyote tusikae kudanganyana ujinga apa