New City Project
Member
- Dec 10, 2019
- 82
- 37
Vijana panueni vichwa vyenu! Zama za kusoma kwa ajili ya kuajiriwa viwandani zilishapita! Hizo ni outdated thinking!
Siasa za nyimbo tuwapongeze wasanii hawa kupelekea utamu wa siasa 2020
Uteuzi wa wanasiasa katika nafasi ya Ukurungezi wa Halmashauri, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Katibu Tawala, Viti Maalumu, WABUNGE, Ubalozi wa nchi mbalimbali utasaidia kukutana na wanasiasa wenye jeuri ya FEDHA na Dharau ya maamuzi... Utamu WA Siasa upo hapa mwenye maoni atume Kwa makamu wa...