M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Wazee wanataka wapewe Chao kabla ya kutoa leseni?Tatizo mchakato wa kupata leseni ni mgumu
Umeongea jambo la maana sana.1. Kama mnavyojua sekta ya USAFIRISHAJI imekua kwa kiasi kikubwa. Lakini la kusikitisha mabasi yaliyo Mengi huagizwa China na Kenya.
2. Je haiwezekani kuwalazimisha wenye viwanda hivyo kujenga "Assembly plant" nchini kuongeza ajira, Kodi na ukuzaji/urithishaji teknolojia/maarifa kwa wazawa?
**SIDO, NIT, UDSM (CoET), DIT amkeni
Tunakwama wapi?
Tatizo mchakato wa kupata leseni ni mgumu
Mkuu, its nice to see you back, Merry Christmas.Siku nikiwa Rais wa hii nchi kila bidhaa inayoagizwa kwa wingi nje ya nchi itategenezewa Tanzania. Kama wawekezaji watakataa kuuza kuleta teknolojia nitajenga kiwanda kimoja kila baada ya miezi mitatu.
Ninaamini 100% Africa hatuendelei sio kwasababu ya ujinga tuliolishwa miaka mingi shida ni hatuzalishi tunavyotumia. The largest importer ni USA, China , Germany.......na ndizo nchi tajiri duniani
Shukrani kaka... same to you.Mkuu, its nice to see you back, Merry Christmas.
Mkuu, waongea kama waziri wa viwanda na biashara au?Mkuu tupo kwenye stage yakupanua mabarabara after that mabus yatakuja kutengenezwa hapa
Bado nina kumbukumbu ya ujumbe wako wa kuondoka JF ulinitafakarisha sana.Shukrani kaka... same to you.
Majukumu yalizidi tu mkuu....nimekuwa nasoma saana. Nikipata likizo ndiyo naweza kupata wasaa wa kujumuika kwenye hili jukwaa adimu.Bado nina kumbukumbu ya ujumbe wako wa kuondoka JF ulinitafakarisha sana.
Hizo nchi ulozitaja zalinda sana viwanda vyao na zote zina chambers of commerce ambazo hatuwezi kuzilinganisha na Dar-es-Salaam Chambers of commerce.Siku nikiwa Rais wa hii nchi kila bidhaa inayoagizwa kwa wingi nje ya nchi itategenezewa Tanzania. Kama wawekezaji watakataa kuuza kuleta teknolojia nitajenga kiwanda kimoja kila baada ya miezi mitatu.
Ninaamini 100% Africa hatuendelei sio kwasababu ya ujinga tuliolishwa miaka mingi shida ni hatuzalishi tunavyotumia. The largest importer ni USA, China , Germany.......na ndizo nchi tajiri duniani
Bila rushwa na kusupport CCM hupatiTatizo mchakato wa kupata leseni ni mgumu
Pia bei, mchina anauza bei ndogoZamani Mabasi yalikuwa yakitengezwa humu humu Nchini, baadae katika miaka 90 ndio tukaanza kuona Mabasi ya Kenya, tena Mkoa wa Tanga ndio waanzilishi.
Tanroads walipoanzisha Mizani za Barabarani yale Mabasi yetu na ya Kenya yakawa ni mazito, ndio Mchina na Brasil wakaingia sokoni na Double axle na body za Fiberglass.
Sasa hivi Mchina Brasil ndio anaongoza
Siku hizi hawataki tena 10% wanataka shares.. Na mtu wa kufanikisha kupata leseni ni serikali kupitia wizara na waziri husika!Wazee wanataka wapewe Chao kabla ya kutoa leseni?
Hivi Yutong moja Coach ni Shilingi ngapi za Madafu?!Pia bei, mchina anauza bei ndogo