Viwango vya Michango ya Mwenge kwa Watumishi

Kwani huu Mwenge upo wizara gani? Hiyo wizara haina bajeti? Mwenge unajulikana na gharama zake zinajulikana, kama Serikali inaona umuhimu wake kwa nini Wizara husika isiutengee bajeti?
 
Panya gani wa kumfunga paka kengele?
Sio rahisi, kama ilivyo muungano.

Ukienda kwenye national website unakuta mwenge unaorodheshwa kama alama ya taifa. Sasa haya mambo ya alama haya ni kama zindiko hili, nchi imezindikwa hapo, na mazindiko yanahuishwa kila mwaka.

Unadhani atatokea nani aondoe hilo zindiko? Labda tumpate Mlokole kabisa kabisa
 
Akija mtu home/ofisini kwangu kunidai pesa ya mwenge ni lazima nizae naye ili iwe fundisho kwa wengine.
 
CCM Chama Cha Majizi
Mwenge ni uchawi,
 
Ukiwa mtumishi wa umma Tanzania kuna mambo matatu unatakiwa kuwa nayo makini; maana yanaweza kukuletea matatizo makubwa.
1. Mwenge
2. Mitihani
3. Uchaguzi
Matukio yote yanayoihusu CCM ni hatari kwa mtumishi. Siku hizi wana mikutano yao ya taathimini mtumishi ngaza ya kata usipohudhuria wanakuazimia. Ovyo sana hawa watu.
 
Kabisa hajui alisemalo
 
Hao watendaji wanakwenda kuzitafuta kwenye rushwa, ukitaka kujionea nenda kwenye ofisi zao kipindi hiki
 
Uu mwenge zaidi ya kuchochea ngono amna cha ajabu
 
Ukiwa mtumishi wa umma Tanzania kuna mambo matatu unatakiwa kuwa nayo makini; maana yanaweza kukuletea matatizo makubwa.
1. Mwenge
2. Mitihani
3. Uchaguzi
4.Msafara wa viongozi
 
Halafu zinatumika kwa ajili ya nini hasa? Mwenge uko chini ya taasisi gani isiyouwekea bajeti?
 
Mtu anaingia ofisini kwa siku moja anaiba walau elfu 50 hadi laki moja kwa siku moja hawezi kuchangia, mwalimu mwenye mshahara wa laki tatu bila hata chembe ya ya rushwa, wala marupurupu anadaiwa mchango wa mwenge
 
Kuna uhusiano gani wa mwenge na matumizi ya condom?
Maana ulipo mwenge na condom zinapatikana mpya ila asubuhi yake zinaonekana zikiwa na oil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…