Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly. Mimi nina vingi pia vya kujifunza, just like you do.We ndiyo unavyovingi vya kujifunza maana huelewi unachozungumza
Sio rahisi, kama ilivyo muungano.Panya gani wa kumfunga paka kengele?
CCM Chama Cha MajiziHili la mwenge litafakarisha sana. Iringa kila mtumishi kaagizwa kutoa mchango kama ifuatavyo.
1. Watendaji kata 30,000/=
2. Waratibu Elimu 30,000/=
3.Watendaji wa mitaa 15,000/=
Pia watendaji wa mitaa wanatakiwa kuchangisha fedha mitaani huku kila mmoja akipewa malengo ya kiasi cha kuchangisha
4. Maafisa Ugani kata (Kilimo na mifugo) 15,000/=
5. Maafisa maendeleo 15,000/=
6. Waalimu 5000/=.
7. Wafanyabiara wakubwa na wenye viwanda. Hawa wanaandikiwa barua rasmi na mkurugenzi au ofisi ya mkuu ya Wilaya au Mkoa na hutakiwa kutoa kiasi cha kuanzia laki moja(100,000/=) na kuendelea. Huu km sio wizi na unyang'anyi ni nini?
Kinachoshangaza ni ongezeko kubwa la mchango ambapo mwaka jana watumishi walichangia kati ya elfu 3,000 na elfu 5000. Nini kimesababisha mwaka huu michango kuwa 15,000 na elfu 30,000? Maswali ya kujiuliza
1. Je, serikali haitambua huu uonezi unaofanywa na Wakuu wa Wilaya?
2. Ni sheria gani inasema wananchi na watumishi wachangie mwenye kwa nguvu?
3. Wabunge wako wapi kuikemea serikali?
Kwa kifupi Mwenge sasa ni kero kubwa kwa wananchi wa kawaida,wafanyabiashara na watumishi.Wengi hawataki hata kuusikia.
Nb:Hii michango sio ombi ni lazima,ikitokea unasita sita kutoa unaambiwa litakalokukuta shauri ako.
Nawasilisha.
Matukio yote yanayoihusu CCM ni hatari kwa mtumishi. Siku hizi wana mikutano yao ya taathimini mtumishi ngaza ya kata usipohudhuria wanakuazimia. Ovyo sana hawa watu.Ukiwa mtumishi wa umma Tanzania kuna mambo matatu unatakiwa kuwa nayo makini; maana yanaweza kukuletea matatizo makubwa.
1. Mwenge
2. Mitihani
3. Uchaguzi
Kabisa hajui alisemaloWewe unasema hivi kwa sababu haumo kwenye "Line of Command".
Ungekuwa kwenye ile line, wala hata usingeweza kubwabwaja hivi. Fuatilia watu walioko kwenye hii line utakuta wanatoa bila kupenda, including baadhi ya wafanyabiashara; Namaanisha wafanyabiashara na sio wachuuzi.
Kama haupo kwenye huo mnyororo, relax, no body will bother you.
Mbona wengine ni pesa kubwa ila walimu ni buku tano tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hao watendaji wanakwenda kuzitafuta kwenye rushwa, ukitaka kujionea nenda kwenye ofisi zao kipindi hikiHili la mwenge litafakarisha sana. Iringa kila mtumishi kaagizwa kutoa mchango kama ifuatavyo.
1. Watendaji kata 30,000/=
2. Waratibu Elimu 30,000/=
3.Watendaji wa mitaa 15,000/=
Pia watendaji wa mitaa wanatakiwa kuchangisha fedha mitaani huku kila mmoja akipewa malengo ya kiasi cha kuchangisha
4. Maafisa Ugani kata (Kilimo na mifugo) 15,000/=
5. Maafisa maendeleo 15,000/=
6. Waalimu 5000/=.
7. Wafanyabiara wakubwa na wenye viwanda. Hawa wanaandikiwa barua rasmi na mkurugenzi au ofisi ya mkuu ya Wilaya au Mkoa na hutakiwa kutoa kiasi cha kuanzia laki moja(100,000/=) na kuendelea. Huu km sio wizi na unyang'anyi ni nini?
Watumishi wanaonewa sana
4.Msafara wa viongoziUkiwa mtumishi wa umma Tanzania kuna mambo matatu unatakiwa kuwa nayo makini; maana yanaweza kukuletea matatizo makubwa.
1. Mwenge
2. Mitihani
3. Uchaguzi
Halafu zinatumika kwa ajili ya nini hasa? Mwenge uko chini ya taasisi gani isiyouwekea bajeti?Hili la mwenge litafakarisha sana. Iringa kila mtumishi kaagizwa kutoa mchango kama ifuatavyo.
1. Watendaji kata 30,000/=
2. Waratibu Elimu 30,000/=
3.Watendaji wa mitaa 15,000/=
Pia watendaji wa mitaa wanatakiwa kuchangisha fedha mitaani huku kila mmoja akipewa malengo ya kiasi cha kuchangisha
4. Maafisa Ugani kata (Kilimo na mifugo) 15,000/=
5. Maafisa maendeleo 15,000/=
6. Waalimu 5000/=.
7. Wafanyabiara wakubwa na wenye viwanda. Hawa wanaandikiwa barua rasmi na mkurugenzi au ofisi ya mkuu ya Wilaya au Mkoa na hutakiwa kutoa kiasi cha kuanzia laki moja(100,000/=) na kuendelea. Huu km sio wizi na unyang'anyi ni nini?
Kinachoshangaza ni ongezeko kubwa la mchango ambapo mwaka jana watumishi walichangia kati ya elfu 3,000 na elfu 5000. Nini kimesababisha mwaka huu michango kuwa 15,000 na elfu 30,000? Maswali ya kujiuliza
1. Je, serikali haitambua huu uonezi unaofanywa na Wakuu wa Wilaya?
2. Ni sheria gani inasema wananchi na watumishi wachangie mwenye kwa nguvu?
3. Wabunge wako wapi kuikemea serikali?
Kwa kifupi Mwenge sasa ni kero kubwa kwa wananchi wa kawaida,wafanyabiashara na watumishi.Wengi hawataki hata kuusikia.
Nb:Hii michango sio ombi ni lazima,ikitokea unasita sita kutoa unaambiwa litakalokukuta shauri ako.
Nawasilisha.
Naona unataka jamaa zako watoe zaidi au sioMbona wengine ni pesa kubwa ila walimu ni buku tano tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Bado sijawahi kuuona live, ukipelekwa huko nitalipia kwenda kuuonaImetosha sasa. Mwenge upelekwe makumbusho ya taifa.
Bila kusahau ziara za viongozi wa KitaifaUkiwa mtumishi wa umma Tanzania kuna mambo matatu unatakiwa kuwa nayo makini; maana yanaweza kukuletea matatizo makubwa.
1. Mwenge
2. Mitihani
3. Uchaguzi