Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Duh kwahio ili kufika F1 lazma upige kazi 16 years [emoji28] kama ulianza kazi na miaka 30 basi utafikia hapo ukiwa 46?
Hio utaipata ukianza gonga 50 Huko[emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh kwahio ili kufika F1 lazma upige kazi 16 years [emoji28] kama ulianza kazi na miaka 30 basi utafikia hapo ukiwa 46?
Hakuna. Pengine yako.Kazi ipi ni rahisi na yenye Malipo mazuri ?
Ndio maana MC GaraB alikimbilia kuwa MC tu anajikunjia 1.5M kila sikuHio utaipata ukianza gonga 50 Huko[emoji1787]
Nafahamu watu wa afya wana scales tofauti, ndiyo na nikasema mishahara yao pia ni tofauti na hawa watumishi wengine kama walimu, HROs na kada zenye kufanana na hizo ambao scales zao ni TGSKada ya Afya ina Scale zake tofauti na uliyoitaja...Wana Scale zinaitwa "TGHS......"
Weo au accountant wa wap anamzidi?Hapo mwalimu anazidiwa kidogo na kada za Afya na Engineering.
Lakini taaluma nyingine zote kama Acccountancy, sociology, Mchumi, Maafisa Maendeleo, Kilimo, HR, Afisa Utumishi, WEO/VEO, sheria wote kwa walimu wanasubiri.
Mishahara ya walimu siyo midogo.
Walimu wanachojua ni kujiliza liza kama mbweha tu.
Mbona hela inatosha sana hiyo,wewe tu mtazamo wako mkuuViwango Vya Mshahara Wa Walimu 2021/2022 | Teachers Salary Scale Range
New Government Salary Scales: Approved
B1 = Basic 419,000
TGTS B1 = 419,000/- and TGTS C1 = 530,000/- TGTS D1 = 716,000/- and TGTS E1 = 940,000/- TGTS F1 = 1,235,000/- and TGTS G1 = 1,600,000/- TGTS H1 = 2,091,000/- and TGTS I = 2,810,000/-
C1 = Basic 530,000
Cwt = 8,390. Pension = 20,950. Income = 46,090. Insur = 12,570 Take home = 331,000
D1= Basic 716,000
Cwt = 10,600. Pension = 26,500. Income = 58,300. Insurance = 15,900 Take home = 418,700
E1 = Basic 940,000
Cwt = 14,320. Pension = 35,800. Income = 78,760. Insurance = 21,400 Take home = 565,640
F1 = Basic 1,235,000
Cwt = 18,800. Pension = 47,000. Income = 103,400. Insurance = 28,200 Take home = 742,600
Kazi ni kwako ndugu mwalimu
Cwt = 24,700. Pension = 61,750. Income = 135,850. Insurance = 37,050 Take home = 975,650.
Mkuu,Kuna kada za afya nao wafahamu Wana Manisha ya kawaida Sana,pia kuna walimu wanamiliki maghrofa mjini ndugu yangu,Manisha mazuri ya mtumishi WA kawaida hayatokani na kiasi cha mshahara,Bali mipango e.g investment n.kHalafu unategemea utaendesha gari siku 1?
Ndoo maana naombwa pesa kila sikuTake home 331,000 . Hapa lazima ujiongeze.
Hujaweka makato ya HESLBViwango Vya Mshahara Wa Walimu 2021/2022 | Teachers Salary Scale Range
New Government Salary Scales: Approved
B1 = Basic 419,000
TGTS B1 = 419,000/- and TGTS C1 = 530,000/- TGTS D1 = 716,000/- and TGTS E1 = 940,000/- TGTS F1 = 1,235,000/- and TGTS G1 = 1,600,000/- TGTS H1 = 2,091,000/- and TGTS I = 2,810,000/-
C1 = Basic 530,000
Cwt = 8,390. Pension = 20,950. Income = 46,090. Insur = 12,570 Take home = 331,000
D1= Basic 716,000
Cwt = 10,600. Pension = 26,500. Income = 58,300. Insurance = 15,900 Take home = 418,700
E1 = Basic 940,000
Cwt = 14,320. Pension = 35,800. Income = 78,760. Insurance = 21,400 Take home = 565,640
F1 = Basic 1,235,000
Cwt = 18,800. Pension = 47,000. Income = 103,400. Insurance = 28,200 Take home = 742,600
Kazi ni kwako ndugu mwalimu
Cwt = 24,700. Pension = 61,750. Income = 135,850. Insurance = 37,050 Take home = 975,650.
Makato kwako sio kwa kila mtuHujaweka makato ya HESLB
Kwani yule alikuwa tichaNdio maana MC GaraB alikimbilia kuwa MC tu anajikunjia 1.5M kila siku
Upuge 16 yrs ukiwa umeanza katika daraja gani?Duh kwahio ili kufika F1 lazma upige kazi 16 years 😅 kama ulianza kazi na miaka 30 basi utafikia hapo ukiwa 46?
Ticha ndioKwani yule alikuwa ticha
Sawa Mzilankende.Tanzania Ni Tajiri
Tuchape Kazi Ndugu Zangu
Bwana Bure Hayupo
Tembeeni Kifua Mbele
Unaweza fikisha hata 50+ Kwa namna ya upandishaji ulivyo bila yaan mtu akaaa ht miaka kadhaa hajapanda darajaDuh kwahio ili kufika F1 lazma upige kazi 16 years 😅 kama ulianza kazi na miaka 30 basi utafikia hapo ukiwa 46?