Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Hata wakati ule masharti ya 1/3 yalikuwepo kama kawaida.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti hutakiwi kulalamika popote. Ila nadhani kwa sasa hivi haiwezekani hii
Lakini mie nilighushi pay slip ya kukopea bank B, halafu ndiyo nikawaachia wanyang'anyane mpaka watakaporidhika kuwa wamemaliza kunifyeka.
Tena wakati ule kukopeshwa ilikuwa si zaidi ya miaka3, ni muda mfupi tu adha ikaisha.
Mi sikujali kwa sababu nilikuwa nina njia zingine za kuniingizia kipato cha pesa ya kula.
Nikawa nimejifunga mabomu kwa faida, nyumba ninayo na mshahara ninao na maisha yakaendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app